kumbe sheikh farid na yeye chadema!!

You can't direct the wind but you can adjust the sails, thank you for yr great-scope

Du inaonekana upeo wako ni mdogo katika mambo ya kisiasa. u can be great thinker.Hiyo ni alama ya mageuzi inatumika nchi nzima.
 
Hizi alama za vidole na mikono kila mtua anatumia kwa jinsi anavyotaka yeye!! Aliyekuambia alama ya vidole kwa CDM ina hati miliki ni nani? Na kuwa eti ni marufuku kutumika kwa mtu ambaye si mwanachama wa CDM? Akili za hawa dhaifu ni dhaifu kweli kweli!!! They never think twice!!!!
 
Back
Top Bottom