Search results

  1. D

    Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakamani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji...
  2. D

    Chama kikiwafukuza Wabunge Viti Maalum CHADEMA itakuwaje?

    Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla wanawahitaji hao wabunge wa CHADEMA. MASHARTI YA PESA TOKA NJE (DONORS) Kama mnaelewa bunge letu hakuna...
  3. D

    Tujikumbushe uchaguzi wa mwaka 1995 Maneno ya CCM kuhusu Mrema kutojua Kingereza

    1.Kingereza ni lugha ya Taifa ,chagua rais anaeongea kingereza 2.Mrema hajui kingereza atakuja kutuletea aibu umoja wa mataifa au akisafiri nje 3.Mrema Hawezi kuongea kingereza na Kiswahili 4.Mikataba ya kimataifa ni kwa kingereza 5.Miswada yetu ni kwa kingereza @@@@@Miaka 20 baadae walewale...
Back
Top Bottom