Search results

  1. komanyahenry

    Tafakari juu ya nchi yetu Tanzania

    Kwa mujibu wa Sheria namba 15 ya Bendera na Ngao ya Taifa ya mwaka 1971 imetoa maelezo ya namna bendela ya taifa inatakiwa kuwa pamoja na matumizi yake. Mpangilio wake ni kama ifuatavyo Bendera itakuwa imegawanywa kwa pande 2 kutoka juu kushoto kwenda chini kulia nafasi ya juu itakuwa kijani na...
  2. komanyahenry

    NAWASIWASI NA UHAMINIFU WA KAMPUNI INAYOJIITA 16 PATRAH CHINA COLLECTION

    Hii kampuni nimeona matangazo yao wanauza bidhaa kwa bei ya China, bidhaa zao zinashawishi kuwafuata maana ukiangalia bei yao naona kama haiendani na thamani ya bidhaa yenyewe kwa kuwa rahisi sana. Wasiwasi wangu ni juu ya kufunga akaunti zao za Instagram pamoja na WhatsApp group hakuna uhuru wa...
  3. komanyahenry

    Muhimu kuzijua aina hizi za propaganda katika kipindi hiki cha uchaguzi

    Hata propaganda imegawanywa kulingana na njia ambazo hutumia kuunda hoja yake. Jamii hizi kijadi zinaitwa kama propaganda nyeupe, nyeusi, na kijivu. Wakati kuna tofauti katika jinsi maneno haya yanavyofafanuliwa, Garth S. Jowett na Victoria O'Donnell (Propaganda and Persuasion ) hutumia lebo...
  4. komanyahenry

    Tuliowahi kuhisi kuumwa/ Wagonjwa wa Corona tupeane uzoefu

    Kama wiki kadhaa nyuma kipindi hiko COVID -19 ndio ipo kwenye pick, nilishikwa na homa moja kali na ya ajabu, na before that nilikuwa na ruti sana za kutoka mikoani kuja Dar, ile home iliambata na kuumwa viungo vya mwili pamoja na kikohozi kikavu sana hasa wakati wa usiku nikilala. Nikazama...
  5. komanyahenry

    Nafsi inaniuma kuona rafiki yangu analea mtoto asiye wake

    Nina mshkaji wangu (JUMA) tangu kitambo sana tukiwa ndio tumeanza kazi since 2005, kuna kipindi jamaa alikuwa nje ya nchi na before ya kuondoka alikuwa anaishi na mdada fulani anaitwa Emmy, wakati wa maandalizi akaja kugundua Abdala ambaye ni rafiki yetu anammendea demu wake (Emmy), nikamshauri...
  6. komanyahenry

    Hivi TBC mnakwama wapi?

    Naangalia Dr Shein akifunga maonesho ya viwanda ya SADC ikiwa ni mubashara, nikajaribu kufuatilia television zinazorusha mubashara tukio ili muhimu ni ITV, EATV, Channel Ten na TBC, kufika hiyo television ya taifa nimekutana na kitu cha ajabu sana, nashindwa kuelewa kama hakuna wataalamu...
  7. komanyahenry

    MSAADA KWA NIDA

    Wadau, nimepoteza kitambulisho changu cha utaifi, nimejaribu kufuatilia kwa ajili ya kupata kingine ila process yake ni ndefu na mm nakiitaji haraka kwa ajili ya kubadilisha passport kwa ajili ya safari ninayotarajia mwezi Agost. Nimejaribu ku download nakala ya kitambulisho online lakini...
  8. komanyahenry

    Buriani Prof Robert Mabele kwa wale wakongwe wa Uchumi UDSM na wale madogo wa Ruaha Catholic

    Buruani Prof Robert Mabele (BOB) kwa wale wakongwe wa Uchumi UDSM na wale madogo wa Ruaha Catholic University (RUCU) watakuwa wanamfahamu. Alifariki siku ya jumanne ya tarehe 06 May 2019 na kutarajiwa kuzikwa kesho siku ya jumamosi tarehe 11 May 2019. Msiba upo Makongo juu. Misa ya mazishi...
  9. komanyahenry

    MSAADA KWA WABOBEZI WA SIMU ZA SONY XPERIA

    Naomba msaada kwa wabobezi na watumiaji wa simu aina ya Sony Xperia T2 nashindwa kupata option ya ku save namba kwenye Gmail.
  10. komanyahenry

    KUNA UHUSIANO UPI KATI YA TAREHE YA KUZALIWA NA TAREHE YA KUFARIKI?

    Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana sana na ili jambo, unakuta tarehe ya watu wengi kufariki huwa zinakaribiana na tarehe au mwezi wa...
  11. komanyahenry

    Biashara gani inalipa kati ya hizi?

    Nahitaji kumfungulia wife biashara, baada ya kuongea nae yy binafsi ana wazo la kufungua duka la kuuza na kuoka cake za harusi, send off, birthday n.k ila mm binafsi nilikuwa nafikiria kumfungulia duka la kuuza simu na accessories zake. Naomba ushauri juu ya idea hizi mbili. Idea mpya ruhusa...
  12. komanyahenry

    Kweli ela ya madini haijawai muacha mtu salama

    Hii nyumba nimeikuta maeneo ya buseresere, jamaa kajenga hiyo nyumba akaamua kuweka icho kitanda chumbani
  13. komanyahenry

    Mwigulu na Ndalichako ndani ya CBE tarehe 16/03/2018

    TANGAZO TANGAZO Uongozi wa serikali ya wanafunzi COBESO unapenda kuwaarifu uma wa wana CBE kuwa LEO tarehe 16/03/2018 siku ya Ijumaa tutakuwa na ugeni mkubwa sana hapa chuoni kwetu wa watu hawa wafuatao. 1= Mama Ndalichako: Waziri wa elimu 2=Mwigulu Nchemba: Waziri wa mambo ya ndani...
  14. komanyahenry

    Mwanafunzi CBE ajiua kisa mapenzi

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa mwanafunzi Shija wa Chuo cha Biashara CBE Dar es salaam amefariki kutokana na ugomvi wa mapenzi na ikadaiwa kuwa alirushwa kutoka gorofani kwenye Hostel baada ya kutokea ugomvi huo. Mkuu wa Chuo hicho Profesa Emmanuel Mjema ambaye ameeleza kuwa...
  15. komanyahenry

    Walimu Siha marufuku kujihusisha na Siasa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Valerian Juwal amewaonya walimu wa shule za msingi na sekondari kutojihusisha na masuala ya vyama vya kisiasa mashuleni. Valerian amesema kuwa walimu kujihusisha na masuala ya kisiasa wakiwa mashuleni kunapelekea walimu kushindwa kufikia...
Back
Top Bottom