KUNA UHUSIANO UPI KATI YA TAREHE YA KUZALIWA NA TAREHE YA KUFARIKI?

komanyahenry

JF-Expert Member
Sep 15, 2017
903
1,352
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana sana na ili jambo, unakuta tarehe ya watu wengi kufariki huwa zinakaribiana na tarehe au mwezi wa mtu kuzaliwa au namba ya mwisho ya mwaka wa mtu kizaliwa zikawiana na namba ya mwisho ya mwaka ya mtu kuzaliwa. Kama ulikuwa ujagundua hiki kitu jaribu kufuatilia tarehe ya mtu kufariki na tarehe ya kuzaliwa
 
Kwa.kweli sijawahi kukutana na hili
Ila nimejiwazia tu nikafikiri labda kwa kuwa wengi hawajua tarehe za kuzaliwa kwa hiyo wanabuni tu
 
Hamna uhusiano wowote mkuu,

Hamna uhusiano wowote kati ya tarehe ya kununua gari na tarehe ya ajali ya gari lako au kuharibika kwa gari lako.
Kufa kupo kwa aina nyingi.
Kuna vifo vya bahati mbaya, vifo vya makusudi, vifo vya uzembe na vifo halali vya kimazingira.
Kadhalika kuzaliwa kupo kwa bahati mbaya na kuzaliwa kwa kusudi la wazazi husika
 
wataalamu wanasema eti watu wengi hufa karibu na birthday zao au baada ya birthday zao .
Mfano unakufa mwezi wa 7 birthday yako mwezi wa8 unakufa mwezi wa9 birthday yako mwezi wa 8
 
Nimetoka kumzika mtu aliyezaliwa tarehe 20/10 amekufa tarehe 20/07, wakat nipo makaburin nikaona mtoto aliyezaliwa tarehe 18/12 na kufariki tarehe 16/12, kulikuwa na mwingine kazaliwa mwaka 57 na kufatiki 2017. Hiyo nilifanya kautafiti kadogo ka muda mfupi ila scenario nyingi kama hizo huwa naziona. Wapi mshana
 
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hili swala ila sijapata jibu, naomba mwenye uelewa juu ya ili jambo anipe ufafanuzi kidogo. Katika baadhi ya misiba misiba mingi niliyowai kuhudhuria huwa nakutana sana na ili jambo, unakuta tarehe ya watu wengi kufariki huwa zinakaribiana na tarehe au mwezi wa mtu kuzaliwa au namba ya mwisho ya mwaka wa mtu kizaliwa zikawiana na namba ya mwisho ya mwaka ya mtu kuzaliwa. Kama ulikuwa ujagundua hiki kitu jaribu kufuatilia tarehe ya mtu kufariki na tarehe ya kuzaliwa
Hii ishaletwa humu jamvini,kihalisia hakuna uhusiano wowote.
 
K
Una maana gani mkuu? Fafanua kidogo
In the beginning God created heaven and the earth.
What was like before that? Ushawahi jiuliza? Unawakumbuka waliojengaga mnala kutaka kufika mahali Mungu alipo? Unaikumbuka story ya mbwa na mfupa na mto? Unakumbuka story za source za HIV/AIDS na nyani?

Kuna vitu its better to be left alone kuliko kutaka kuchimbua kutaka kujua chanzo/vyanzo vyake/chake. Kuna vitu are there for purposes. No reasons just purposes! Kama wrwr ni mkristo au Muslim wakati wa ibada waumini wanatuhusiwa kuuliza maswali Kwa kile kinachofundishwa?
 
Hamna uhusiano wowote mkuu,

Hamna uhusiano wowote kati ya tarehe ya kununua gari na tarehe ya ajali ya gari lako au kuharibika kwa gari lako.
Kufa kupo kwa aina nyingi.
Kuna vifo vya bahati mbaya, vifo vya makusudi, vifo vya uzembe na vifo halali vya kimazingira.
Kadhalika kuzaliwa kupo kwa bahati mbaya na kuzaliwa kwa kusudi la wazazi husika
Hujawai sikia mtu kapata ajari lakini kabla ya kutokea ajari kuna kitu kama kwenye nafsi kilikuwa kinamkataza au kinamshurutisha kwenda mahali flani?
 
wataalamu wanasema eti watu wengi hufa karibu na birthday zao au baada ya birthday zao .
Mfano unakufa mwezi wa 7 birthday yako mwezi wa8 unakufa mwezi wa9 birthday yako mwezi wa 8
Kwann iwe ivyo, wat is behind than?
 
Back
Top Bottom