Search results

  1. F

    Mtumishi wa Serikali kwa miaka 20 akifukuzwa anapata mafao?

    Naomba ufafanuzi kama ukiwa mtumishi wa Serikali zaidi ya miaka 20 je kama ukifukuzwa kazi kuna mafao yoyote utapata? Au ukiamua kuacha kazi, Je kuna mafao yoyote unaweza kupata? Na je kama una mkopo benki hilo deni linalipwaje na wewe uko nje ya utumishi.
  2. F

    Huyu dada hata simuelewi

    Kuna dada mmoja hapa mtaani kuna grocery jirani uwa naenda kupata kinywaji mara nitokapo katika miangaiko yangu sasa kuna siku alikuja pale kumtembelea rafiki yake nilipomuona nikatokea kumkubali kwa jinsi alivyo nikamuita nikaongea nae akanipa namba tukaendelea kuwasiliana Shida ndio zikaanzia...
  3. F

    House4Sale Nyumba inauzwa Mkuranga Mjini

    Ipo mkuranga mjini km moja toka barabara kuu ina vyumba vitatu kimoja master bedroom ina umeme maji mawasiliano 0655204110 na 0699492380.
  4. F

    Mada Fikirishi_Kidole cha kati

    Wanazengo ebu toeni ufafanuzi kuhusu matumizi sahihi ya kidole kirefu cha Kari mkononi maana ikitokea mtu akionyeshea kidole cha kati kuelekea juu basi anaona ametukanwa na inakuwa ni ugomvi mkubwa, sasa tupate elimu kidogo matumizi yake
  5. F

    Boda boda na wimbo wa Mwanza

    Naomba BASATA waangalie upya suala la kuufungia wimbo wa Rayvany Uitwao Mwanza nyegezi maana unapigwa kila kona ya nchi hii, chunguza hili
  6. F

    Naona hatari mbele, gari lipo mwendo wa kasi

    Habari wana JF, Nipo kwenye gari na abiria wenzangu tunasafiri gari ipo kwenye mwendo wa kasi na dereva anajitahidi kulicontrol na abiria wanafurahia uwezo wa dereva anavyoendesha ila kwa uzoefu wangu mchache wa kuendesha magari nahisi breki zimekatika tunaweza kupata ajali mbaya huko mbele...
  7. F

    Kwako Zarina Hassan; Wapost na watoto wako wengine kwenye mitandao yako ya kijamii

    Tunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea , Una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na hao wengine jaribu kuwaposti tujue maendeleo yao birthday zao wafanyie sherehe ili wajisikie kama...
  8. F

    Wasanii wala unga

    Tutililike orodha ya wasanii wanaotumia madawa ya kulevya, 1. Chidi benz 2. Ferooz 3. Recho 4. Young Dar es Salaam 5.
  9. F

    Wakali wa hip hop

    Naomba kujuzwa wakali wa hip hop wa zamani kama xplastaz, weusi ten ngangali na wakali wa sasa kama Niki mbishi n.k wako wapi hatusikii wakitoa nyimbo Kali za kuchana au ndo kusema hip hop imekufa
Back
Top Bottom