Search results

  1. 89N

    Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  2. 89N

    Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
  3. 89N

    MSAADA JAMANi

    jaman naombeni kusaidiwa hili janga nilichaguliwa chuo zaid ya kimoja kwetu kijjn nkawa nmechelewa kuconfirm nafanyaje hapo au ndo shapoteza nafasi
  4. 89N

    TCU mwaka huu kudahili wanafunzi wa degree

    Etii jaman hizi ni taarifa za kweli kua TCU ndo wanadahili wanafunzi wa degree tofauti na mwaka Jana.
  5. 89N

    OR-TAMISEMI waachia uhamisho kwa kada mbalimbali

    UHAMISHO sasa waachiwa angalia jinaa lako hapo chini Uhamisho chunya songea watumishi wote SEPTEMBER 2017 Watumishi wa Idara ya Afya Waliohamishwa SEPTEMBER 2017.pdf MAJINA YA WATUMISHI WALIOHAMISHWA SEPT2017
Back
Top Bottom