Search results

  1. samito

    Wizi wa magari Dodoma

    Hizi majuzi nimesikia watu watatu ninao wafahamu wameibiwa magari Dodoma. Na jhuu wizi unafanyika kibabe sana, wanakuja nyumbani wanafunga grill zenu kwa kufuli hata mkiamka wakato wanawasha gari msiweze kutoka. Tena naskia kama una geti la ku slide wanaruka ukuta wanaingia ndani kisha...
  2. samito

    Moto wawaka kwenye viwanda vya Shekilango (Ubungo Millenium Park)

    Nimeskia breaking news karibu na ubungo maeneo ya shekilango kuna moto unaunguza viwanda na ni mkubwa sana. Mliopo Maeneo hayo ikoje hii?
  3. samito

    Laptop inauzwa

    Dell vostro 1400 HD 120 GB RAM 1GB Procesor dual cpu @1.6 dvd rom, wifi, bluetoth card slot OS widow 7 premium ms office 2007 BEI LAKI 8 ni pm kama unaitaka nitakujibu kwa haraka samito
  4. samito

    sherehe mwez feb

    afu unataka mchango mwez january au feb mwanzon, unataka unieleweje? kodi sijalipa ada za watoto na wadogo zet, kod za viwanja, nk nk sogeza sherehe yako march au april ntakupa ushirikiano murua
  5. samito

    uliza swali ujibiwe swali Bongo nouma

    MKENYA: Eti naskia nyie mwatanzania mkiulizwa swali mnajibu kwa kwa kuuliza swali MTANZANIA: We nani kakuambia? MKENYA: duh! Mi naomba niulize wabongo wenzangu, hii kasumba ya kujibu kwa kuuliza swali tumeitoa wap?
  6. samito

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira azuru GREEN RESOURCES TANZANIA

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa ameiasa jamii ya watanzania kujenga tabia ya kupanda na kutunza miti ili kufaidika na biashara ya hewa ukaa. Dk. Huvisa ameyasema hayo mwishoni mwa wiki katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa alipofanya ziara ya kikazi...
  7. samito

    TBC wanatuchakachua wabongo

    Tamthilia ya kichina imetafsiriwa kwa kiswahili cha ki-kenya! imekaaje mlioangalia.!
  8. samito

    Wizi mpya wa VODACOM !?

    Hello pipo, leo nimepigiwa simu toka number hii +25515600 kwenye simu yangu ya voda afu ni sauti iliyorekodiwa kwenye mashine ikiwa inaongea upesi upesi(sikumbuki) ila mwisho wakasema kukubali bonyeza 1 ..... mimi sikubonyeza baada ya kimya cha sekunde kama tatu wakasema sijakuelewa nikaamua...
  9. samito

    walevi/wanywaji

    Bar moja mtaa mmoja karibu na makazi ya watu siku moja mwanamke mmoja alikua anakimbizwa na mumewe. Ishu ilikua ugomvi wao, mwelekeo ulikua karibu kbs na meza ya wanywaji fulani. Yule mama huku akikimbia "nisaidie nisaidie ataniua..." Wale walevi wao walichowahi ni kushika chupa na glass za...
  10. samito

    Wataalam wa MAGARI naomba ushauri wenu.

    Wakuu habarini za muda huu, naamini mkon njema kabisa, Ashukuriwe Mungu. Eti, kati ya gari ipi hapa ninunue ipi kwa ajili ya matumizi ya kawaida?? TOYOTA GAIA, CARIB na CISTA ARDEO sw?? naombeni ushauri interms of spea and durability, natanguliza shukran
  11. samito

    Biashara hii ni kinyume cha sheria?

    habari za leo ndugu wana JF. Mwenzenu nimeanzisha biashara ya kukopesha wafanyakazi mkopo wa chap! chap! yaani kuanzia 100,000 mpaka 500,000 na mdeni ni lazima anilipe ndani ya mwezi mmoja na riba ya 20,000 kwa kila laki moja na akishindwa kulipa basi analeta riba alafu deni linakuwa carried...
  12. samito

    Ngo! ngo! ngo! Hodiiiiii...

    wenyewe mpoo, Helo pipoo... first of all congs sana kwa michango yenu humu jamvini inayosaidia jamiii.. nami nimeamua kujiunga leo... naamini mtanikaribisha kwa bashasha, nderemo na vifijo..:grouphug: pamoja sana lv u all :dance:
Back
Top Bottom