walevi/wanywaji

walevi/wanywaji

samito

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
631
Reaction score
178
Bar moja mtaa mmoja karibu na makazi ya watu siku moja mwanamke mmoja alikua anakimbizwa na mumewe. Ishu ilikua ugomvi wao, mwelekeo ulikua karibu kbs na meza ya wanywaji fulani.

Yule mama huku akikimbia "nisaidie nisaidie ataniua..." Wale walevi wao walichowahi ni kushika chupa na glass za bie pale mezani ikitokea kajikwaa zisimwagike
 
Pssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
 
Back
Top Bottom