uliza swali ujibiwe swali Bongo nouma

uliza swali ujibiwe swali Bongo nouma

samito

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
631
Reaction score
178
MKENYA: Eti naskia nyie mwatanzania mkiulizwa swali mnajibu kwa kwa kuuliza swali

MTANZANIA: We nani kakuambia?

MKENYA: duh!

Mi naomba niulize wabongo wenzangu, hii kasumba ya kujibu kwa kuuliza swali tumeitoa wap?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom