Wataalam wa MAGARI naomba ushauri wenu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa MAGARI naomba ushauri wenu.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by samito, Jun 22, 2011.

 1. samito

  samito JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu habarini za muda huu, naamini mkon njema kabisa, Ashukuriwe Mungu.

  Eti, kati ya gari ipi hapa ninunue ipi kwa ajili ya matumizi ya kawaida?? TOYOTA GAIA, CARIB na CISTA ARDEO sw??

  naombeni ushauri interms of spea and durability, natanguliza shukran
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Google user views on those car halafu utaamua mwenyewe.
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu Shossi, hata ni google naletewa view za ki-ulaya ulaya na nchi nyingine ambako mazingira yetu na yao ni tofauti kabisa, naamini JF IS THE BEST
   
 4. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nunua Honda Odyssey. kwa matumizi ya kawaida itakufaa sana na ina hadhi na sifa kubwa kuliko hizo zote ulizozitaja
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu taabu ya magari yasiyo na majina kwenye issue ya spea jiandae maumivu!kuna jamaa yangu alivunjiwa kioo na vibaka hapa town,had leo hajapata replacement ya kioo,kaambiwa laki 5,akaletewe nairobi!so jiandae
   
 6. samito

  samito JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmh hili sijawai kuliskia em ngoja nili search
   
 7. samito

  samito JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli na ndo maana nimeomba ushauri hapa which one should i go for? naamini kuna watu mnajua magari yapi yanafahamika zaid, em nitajie ila lisiwe saloon car
   
 8. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  well kila kitu kina faida na hasara zake. kama unapenda ile iitwayo 'standing out of crowd' then utanunua magari yasiyo common sana. siamini kupata spear kwa dunia yetu leo ni shughuli kubwa kiasi hicho. ila of course unaweza subiri kidogo. na hiyo ndo price unayolipa kwa kuwa na gari isiyo common. kwa upande mwingine ukiwa na gari zilizojaa, unaweza ibiwa kwa urahisi sana na hata kuuawa in the process ya kuporwa gari. yote hayo, pamoja na mambo mengine, ni ya kuangalia ununuapo gari. usisahau pia kutazama kitu ambacho wengi wetu huwa hatukitazami mara nyingi. usalama wa gari pindi itokeapo ajali/dharura. kwa uhakika wa hili bora ucheki users wa huko majuu wanasemaje kuhusiana na safety features na maneigneyo yahusuyo hilo. pia kuna suala la appearance na status ya gari, pleasure of driving etc. kwa serious buyer ni bora kufanya homeworks zake kuliko kukimbilia mkumbo na kununua 'migari' iliyojazana tu mjini hapa. watu wengi wako ignorant sana na wanaishia kushawishiwa na nguvu za marketing za manufacturers. please ukitaka mengineyo ni PM
   
 9. samito

  samito JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu Manumbu umenipa chalenge sana... ila nahisi sasa kuchanganyikiwa sijui ni kwasababu nimeskiliza ushauri wa watu wengi..? maana kila mtu analake, the more knowledgeable I became is the confused naelekea... ngoja nifanye homeworks za kutosha, naamin nitafanikiwa safely
   
 10. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu usichanganyikiwe,kila kitu kina faida na hasara zake.pia inategemea na budget yako!siwez toa ushauri sijajua unataka 4wd au 2wd!pia budget yako imekaaje!pia usisahau kusoma post za tra kuhusu kodi mpya!bongo ni balaa!kodi jamaa wanabamiza kama nn!vitz inalipiwa ushuru milion 5!kha!
   
 11. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu nikupe ushauri wa bure.
  [h=1]The Worlds Top 10 Car Manufacturers[/h]89
  rate or flag this page By ryankett
  This is a nice easy hub, assuming that the search engine traffic (that may well be you) is looking for a list of the largest car manufacturers? Because 'Top' can mean a few different things. Well if that isn't want you were looking for, it is what you are getting. Here is a list of the worlds top 10 passenger car manufacturers in 2005 (Source:- OICA Statistics Committee). Of course, these stats are likely to differ significantly following the collapse of world financial systems - however it is difficult to find more recent reliable statistics at this stage.
  UPDATE: It appears that many of you are struggling to understand that this is not a list of the car manufacturers which I consider to be the best.
  [​IMG] See all 11 photos


  It is in fact a list of the car manufacturers who produced the most cars during the calender year 2005; these cars have not necessarily been sold during this period either, and therefore this list should also not be considered a list of the top selling brands.

  [​IMG]
  [h=2]1. Toyota (Japan)[/h]The world's most active car manufacturer during 2005 was Japanese company Toyota, who had a total of 6,157,038 cars roll off of the production line during 2005. The widest produced model is likely to be the popular Corolla,
  [​IMG]
  [h=2]2. General Motors (USA)[/h]Next on the list, and half a million away from Toyota, is American company General Motors who during 2005 produced a hefty 5,657,225 passenger cars. Amongst GM's more famous brands worldwide are Cadillac and Chevrolet.
  [​IMG]
  [h=2]3. Volkswagen group (Germany)[/h]At third on the list and around 700,000 card behind General Motors is German business Volkswagen group with a total of 4,979,487 cars rolling off the production line in 2005. A large proportion of these cars are likely to be from the 'Golf' range.
  [​IMG]
  [h=2]4. Ford (USA)[/h]Sitting at number 4 on the list is the second largest American manufacturer Ford who completed 3,514,496 passenger cars in 2005, more than 2 million less than General Motors. It should be noted however that Ford does have a popular range of vans and other non passenger vehicles.
  [​IMG]
  [h=2]5. Honda (Japan)[/h]At number 5 on this list is another Japanese business, this time its Honda who produced a little less than Ford with 3,324,282 completed passenger cars. It could perhaps be noted that Honda also produce a large quantity of two wheeled vehicles which are not included in these statistics. The biggest selling vehicle is likely to to be the Honda Civic.
  [​IMG]
  [h=2]6. PSA Peugeot Citroen (France)[/h]At number 6 is the first of two French businesses on this list. Peugeot Citroen, which of course is the producer of both Peugeot and Citroen models, completed 2,982,690 cars during 1995.
  [​IMG]
  [h=2]7. Hyundai-Kia (South Korea)[/h]At number 7 on the list is South Korean manufacturer Hyundai-Kai who produced 2,726,000 cars during the year 2005.
  [​IMG]
  [h=2]8. Nissan (Japan)[/h]At number 8 is yet another Japanese company, the 3rd on the list, and makes up the so called 'Asian 4'. Nissan produced 2,697,362 cars during 2005.
  [​IMG]
  [h=2]9. Renault-Dacia-Samsung (France)[/h]The 9th largest passenger car producer of 2005 were French business Renault who finished the year with some 2,195,162 cars completed.
  [​IMG]
  [h=2]10. DaimlerChrysler (Germany)[/h]The 10th and final manufacturer on this list is German firm DaimlerChrysler, perhaps most famous for their luxury Mercedes cars.

  Nakushauri kwa ajili ya spares na umaarufu nunua COROLLA
   
Loading...