Search results

  1. python1

    Swali:Kufukuzwa kwa kocha mkuu Emmanuel Amunike

    Natumai ndugu zangu ni wazima wa afya,poleni na majukumu ya kila siku. Hivi karibuni timu yetu ya Taifa imetoka katika Mashindano ya AFCON ambapo kila MTanzania ameguswa na kufanya vibaya kwa timu yetu ya Taifa . Hii imepelekea Kufukuzwa kwa kocha mkuu. Swali langu ,Je kufukuzwa kwa kocha mkuu...
  2. python1

    Tanzania kutoshiriki Miaka 50 AFCON

    Ndio hatuta shiriki tena Miaka 50 ijayo.Ngoya tusubiri tuone wabunge walienda kufanya nn misri.Hapo ndo tutajua ,Hiii nchi tunasafari ndefu sana. Sijapata kucheza mpira katika ngazi ya ligi kuu ila nimecheza mpira katika academy (FOYSA) Pale Mbeya na ngaz ya wilaya so idea ya mpira ipo. Swali...
  3. python1

    Shairi: Kama mnataka mali

    Shairi bora kupata kutokea 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinjwa...
  4. python1

    Ushauri wangu kuhusu ujenzi wa Viwanda 100 kila mkoa na kila mwaka

    Habari wa Jf wenzangu, Husika na kichwa cha habari hapo juu. "Nianze kwa kusema ningekua raisi huyu waziri ningekua nimesha mtimua kazi." kiukweli nimekua mfuatiliaji sana wa namna hii sera ya viwanda inavyotekelezwa na viongozi wetu especial mawaziri na wakuu wa mikoa. Hakuna asiyejua...
  5. python1

    Ushauri: Kuna kupuliza ili ipoe na kupuliza ili iwake

    kwanza nianze kwa kuwasalimu ndugu zangu natumai ni wazima na wa afya njema na ningependa kuipa pole serikali yangu kwa mahangaiko ya kila siku ili kutuletea maendeleo. kumekuwa na matukio yakiongezeka kila iitwayo leo ambayo yamekua yakihatarisha amani na uhuru wa nchi.Natumeona serikali...
  6. python1

    Hivi kuna uhusiano kati ya mpenzi uliye lalanaye siku hiyo na riziki (kipato)?

    Habari za muda huu wa ndugu, Kuna suala linanitatiza kidogo nahitaji ufafanuzi na kama hiki kimewahi kumtokea mtu mwingine humu ndani. Mimi ni mjasiriamali, kama vijana wengi tulivyo kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja ni suala la kawaida wakati ukiendelea kupembua zipi ni pumba na zipi ni mchele...
  7. python1

    Msaada hizi pesa ndugu zangu

    Msaada wa ndugu hizo pesa za zimbabwe bado zinatumika ,na je ? Kama zinatuka ukichenji bongo sh ngap Sent using Jamii Forums mobile app
  8. python1

    Mke wangu kutongozwa na rafiki yangu

    Ndugu zangu, kweli ni sahihi kwa mke wangu kuniambia kama rafiki yangu wa karibu ambaye pia ni mfanyakazi mwezangu yakuwa amemtongoza. Na je nifanye nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. python1

    Tupeane elimu hapa kuhusu Cybersecurity

    Ndugu jamaa na marafiki natumaini ni wazima wa afya. Kama mtaalamu wa maswaala ya cybersecurity ningependa tupeane elimu kuhusiana na maswala ya ulinzi katika mtandao(cybersecurity) ambayo ni muhimu kwa dunia ya sasa kwa sababu kila mmoja wetu anatumia mtandao kwa namna moja ama...
  10. python1

    Nataka nifanye kazi ya kusajili laini

    Nina degree ajira ni tatizo ,capital ni tatizo,kuna kaz nataka nianze kufanya kusajili lain but naogopa kuwa katisha tamaa wadogo zangu ambao nilikuwa ni mfano kwao? nifanye nn wa ndugu
Back
Top Bottom