python1
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 307
- 186
Natumai ndugu zangu ni wazima wa afya,poleni na majukumu ya kila siku.
Hivi karibuni timu yetu ya Taifa imetoka katika Mashindano ya AFCON ambapo kila MTanzania ameguswa na kufanya vibaya kwa timu yetu ya Taifa .
Hii imepelekea Kufukuzwa kwa kocha mkuu.
Swali langu ,Je kufukuzwa kwa kocha mkuu kutaisaidia timu yetu ya Taifa kufanya vizur??
Au tunamfukuza kuwalizisha watanzania??Au tunamfukuza kozi tumekalili kuwa timu ikifanya vby bac kocha anafukuzwa??
Point yangu ni kwamba kuondoka kwa kocha mkuu Emmanuel amunike kutaondoa haya matatizo tuliyonayo ambayo yanapelekea kufanya vby kwa timu yetu
1.ufisadi na rushwa iliopo ligi kuu na TFF
2.uteuzi wa wachezaji kulingana na usimba na uyanga bira kuangalia ubora wa wachezaji hata Kama ana nidhamu ya ovyo
3.Kila mtanzania kuwa kocha (kumpangia kocha kikosi)
4.kutokuwa na shule za michezo zitakazosaidia kukuza vipaji na kulea vipaji
5.kuingiza siasa kwenye michezo
Swali
Tumefukuza makocha wangap ?? mpaka saiv na kunakocha hata mmoja aliyefanya vzr??
Na je kwann hatufanya vzr??
TFF kwann timu yetu hatufanyi vzr??
Kocha ndo kikwazo au sisi ndo kikwazo??
Mnawekaje msingi ya Timu ya Taifa ya kesho ije kufanya vzr ??
Au ndo kila mtu anaangalia tumbo lake kwasababu cheo ni mapito??
Watoto wa under 17 wako wapi ?
Watoto waliochukua kombe la Dunia wako wapi??
Au wamerudi kigoma na mwanza kuvua dagaa na kucheza kinyenga??