Nataka nifanye kazi ya kusajili laini

Haya ni maisha yako hakuna wa kukuhangaikia zaidi ya wewe kujihangaisha, haijalishi ulikua na status gani huko ulikokua unasoma.
 
Mimi nina degree kama wewe na kazi nilizofanya (ya mwisho nimepigwa chini) zote shit.
Fanya kazi mzee


Halafu nimekumbuka, nina washkaji zangu wawili tumemaliza wote degree wapo TTCL wanasajili line.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom