python1
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 307
- 186
Ndugu jamaa na marafiki natumaini ni wazima wa afya.
Kama mtaalamu wa maswaala ya cybersecurity ningependa tupeane elimu kuhusiana na maswala ya ulinzi katika mtandao(cybersecurity) ambayo ni muhimu kwa dunia ya sasa kwa sababu kila mmoja wetu anatumia mtandao kwa namna moja ama nyingine(facebook,whatsapp,jamiiforum n.k)
Hii ni muhimu sana katika ulinzi wetu binafsi(privacy) na ulinzi wa mahali pa kazi(organization). Nitakua natoa elimu hii kila jumatatu ya wiki.Namkalibisha pia mtu yeyote ambaye anaelimu kuhusiana na saula hili atupe elimu pia.
Nasikitika kuwa nitakuwa nikitumia kingereza kwasababu kama mnavyoelewa haya mambo yameanzia kwa hao wenye hiyo lugha so kuna baadhi ya maneno ndugu zangu ni ngumu kuleta kwa lugha yetu. Naombeni ushirikiano wenu.
"Together, we can protect our privacy"
Asante.
Am python
Sent using Jamii Forums mobile app