Search results

  1. ancillary

    CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

    Hapa mnakumbushwa nyie waimba mapambia pasipo kitumia akili, uozo huu unawahusu kwa niaba ya mwendazake
  2. ancillary

    Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

    Na hapo halmashauri nyingi zinahonga CAG ili kupata hati safi, hali ni mbaya mbaya
  3. ancillary

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Siyo kweli mjini kabisa soko la kati kuna hotel bei rahisi kabisa mfano golden hotel ni ghorofa sema watu wanaogopa wakijua igakuwa bei kubwa
  4. ancillary

    Mgeni wa heshima kwenye Msiba unajua huitwa nani? huitwa Chief Mourner au mwombolezaji mkuu

    Kwahiyo mke wa mwendazake hakutakiwa kuwa chief mourner
  5. ancillary

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ukikuta kumewekwa kikuba, kunanukia hatari
  6. ancillary

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Eti mapimbi[emoji3][emoji3]
  7. ancillary

    Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Mkuu mwanamke mwenye maji ni mtamu sana kwani maji yanapokaribia kutoka K inakuwa ya moto balaa
  8. ancillary

    Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

    Tuwasamehe walikuwa katika harakati za kutetea matumbo yao
  9. ancillary

    Sababu za kufichwa kwa kitabu cha Enoch

    Nimekuja speed nikajua umetuwekea tupate uhondo
  10. ancillary

    CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

    Akili zimewarudi na ujinga umeanza kuwatoka,kwani wengi walikuwa wanashangilia kama wendawazimu pasipo kutumia ubongo akili zote zilikuwa kusifu ili waonekane mwisho wa siku wapate teuzi.
  11. ancillary

    TBC acheni kumuelekeza Mama Samia njia ya kupita

    Tuombe Mungu atuepushe kupita njia hizo manake unaewa tamani kujotoa mhanga ili uondoke na mtu
  12. ancillary

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Kweli kila zama na Nabii wake,huyu si ndiyo mdogo wake Doto Jmes Paymaster General
  13. ancillary

    Je, Huyu Mkalimani Ramazani hajui kusoma? Kwanini aliweka dole gumba?

    Ngoja niendelee kunywa mtori naimani nyama nitazikuta chini
  14. ancillary

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Sasa hapo ndipo Lukuvi anapopenya kirahisiiii
  15. ancillary

    Mwizi wangu namjua, nipeni mbinu za kumkamata

    Hata namba aliyokupa ni feki,alikuwa anajua ni nini anafanya
  16. ancillary

    Member waliopotea JF

    Money stuna, lara1
  17. ancillary

    Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

    Kazi ya kocha ni nini na hawa wachezaji unadhani kawapendekeza nani kusajiliwa Yanga, kama siyo kaze
  18. ancillary

    Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

    Nilidhani mimi tu, mpaka nimeshindwa kumaliza alichoandika
Back
Top Bottom