Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

Tumepigwa,sana huku tukipepewa eti wanyonge yaani, ukisikia CAG ukaona watu hawana ajira, unyanyasaji, wafanyakazi,unaweza kusema Asante Mungu,kwa kila jambo maana utabakia na hasira na huna cha kufanya
Mwendazake alijua kutufool sana, tena aliapa kwa majina yote ya Mungu kwamba anaunchungu na rasilimali zetu, waliotaka kusema waliwekwa ndani na wengine kupigwa risasi, mwisho wa siku yote yamekua wazi
 
Meko na genge lake walikuwa wapigaji wa kuwekewa mfano...

Alivyompiga chini Prof Assad kipindi kile wacha Mungu tulishajua lengo lake...

Tukapiga goti kumwomba Mungu alikomboe taifa kwa namna anayoona inafaa...

Mungu akajibu maombi yetu kwa kufanya maamuzi magumu...
Alipomuweka mpwa wake kuwa pay master general ndipo spices za upigaji zilianza kunukia.
 
Wazee wa watu kina Rugemalila wako ndani bila sababu za msingi wamelazimishwa kukiri makosa wamekataa , huku mtaani watu wanajilipa mabilioni wanaendelea kula bata kwenye V8 , nchi hii mwendazake aliiharibu sana , TGFA wakala wa ndege za serikali wanapiga 3.2 Bilioni kwa ukarabati wa ndege hewa na bado wapo tu watu mnalishwa matango pori mnaimba sijui wanyonge shenzi kabisa wanyonge huku malaika wa chattle anaiba tu , tumbaf kabisa ndiomaana kafa
 
Aisee
Wakuu na wadogo wa JF.

Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.

Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.

Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.

Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.

Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.

MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.

Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.

Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.

Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.

Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.

Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.

MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Aisee
 
Ukisikia hii taarifa ya CAG unaweza kupiga ukunga hlf ukalinganisha na hali ya maisha ya Watz.
Ndiyo maana alisema nchi ni tajiri maana alizungukwa na neema ya pesa pande zote. Alikataa lockdown ili punda wafanye kazi wamletee pesa.
 
Wakuu na wadogo wa JF.

Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.

Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.

Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.

Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.

Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.

MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.

Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.

Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.

Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.

Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.

Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.

MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Kwa taarifa yako hakuna kipindi ambacho watu walipiga pesa kama kipindi cha Magu. Unajua kwa nini? ukitaka kujua wabaya na wazuri wako, wape watu uhuru wa kuongea utajua mambo mengi na unaweza kujikagua. Huku wilayani, wakurugenzi wanapiga hela kama nini Mkurungezi wa Buhigwe na DMO wake wezi wakubwa na hakuna mtu anayewashtukia.
 
Uko sahihi lakin Rais ndiyo mkuu wa yote, ukipokea ushauri, ukaweka sheria zinazotekelezeka hali inaweza kupungua.

Mfano Rwanda nasikia ukiiba na ikabainika wazi,

unawekwa wazi, kwenye media, ndg zako wote wanachunguzwa na ukoo na kuna uwezekano mkubwa hata ndg zako wote walioko serikaln wakaachishwa kazi maana hiyo familia hamuaminiki.

Hivyo kuna sheria ambazo kabla ya serikal kukumulika unakarishwa na ukoo kukuonya maana utaponza ukoo wote na familia.

Nchi za china na kwa Kim mzee wa kidukuu mbona haya mambo hayapo,

Ukiwa dikteta na sheria sahihi wizi unaweza kuisha bana,,ila shida wapi uliona mtu aliyeiba pesa nyingi akafungw tz, unaiba mamilioni unafungwa miezi au,kifungo cha nje na kufagia mhimbili
Naam! Now we are talking. Tuchukulie huo mfano wa Rwanda. Jamii yote ikitambua hivyo. Na watoto mashuleni huko wakafundishwa hivyo. Wanakua wanajua aibu ya rushwa; na kuichukia. Hivyo ndivyo unavyoweza kubadili mfumo na fikra za jamii na kuleta mabadiliko ya kudumu. Kufanya vinginevyo ni kujidanganya.

Kwetu sisi tunaweza kuanzia kwenye katiba mpya tunayopigania. Ikibidi katiba hiyo iseme kabisa adhabu za mafisadi ni zipi. Adhabu hizo ziwe kali na zitekelezwe bila kupepesa macho. Kama ni kunyongwa kweli wanyongwe. Kama ni huo mfumo wa Rwanda basi na iwe hivyo. Hili likifanyika, baada ya muda (kizazi kimoja - viwili) utaanza kuona mabadiliko katika fikra za watu.
 
Bila sheria kali na kuzisimamia..haya yataendelea kuwepo kila siku..sasahivi wanaohujumu pesa za walipa kodi..wawekewe sheria kama za wauza madawa ya kulevya..shenzi kabisa hao..tunahangaika kulipa kodi..wapuuzi wachache wanajinufaisha na jasho letu kwa kivuli cha siasa..bora tapeli mkubwa kafariki..naongea kwa uchungu ila ndio ukweli huo..hakuna cha shujaa wala mzalendo kweli kweli..bali jambazi na jizi kweli kweli..lililotumia mgongo wa wanyonge.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meko na genge lake walikuwa wapigaji wa kuwekewa mfano...

Alivyompiga chini Prof Assad kipindi kile wacha Mungu tulishajua lengo lake...

Tukapiga goti kumwomba Mungu alikomboe taifa kwa namna anayoona inafaa...

Mungu akajibu maombi yetu kwa kufanya maamuzi magumu...
Shemeji njoo nikupikie kitawa
 
Wakuu na wadogo wa JF.

Ukisikia hbr ya CAG juu ya jinsi pesa ya serikal inavyotafunwa kupitia watendaji wasio waaminifu kumbe JPM yalikuwa maneno tu na hakuwa na Sumu.

Sina kumbukumbu kamili kama miaka 6 ya jiwe CAG alikuwa anasoma Ukaguzi wake open kama inavyofanyika leo.

Kwa haraka 40% ya pesa ya serikal ilikuwa inaibiwa na wafanya kazi.

Na watu walimuogopa JIWE kipindi cha mwanzo lakini baada ya hapo wizi ulikuwa wa kutisha.

Ukisikia taarifa ya CAG utaona wazi kuwa katika kuthibiti mapato serikal ya JIWE haikumudu hata asilimia 50.

MAMA yetu kipenzi ana kila sababu ya kukaa na kamati wabuni mfumo wa kuthibiti wizi huu zaidi ya hapo TZ ni shamba la BIBI.

Pia nashauri MAMA AUNGANE NA KIDUKU KIM WA KOREA KUHUSU SHERIA ZAKE UKILA KUANZIA MILIONI 1, TUNYONGE TU HAKUNA NAMNA.

Mizizi ya Tz kuhusu,wizi kwa watendaji haiwezi kuisha kwa hali tu tuliyofikia kwa sheria zetu hizi lege lege.

Nasikia KAGAME amekomesha kabisa wizi cjw alifanyaje.

Nimeanza kuamini kumbe JIWE kuondoka inawezekana ni mpango wa SIR GOD mtenda haki.

Sifurahi kifo chake lakini tulifichwa mengi.

MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU MBARIKI SSH RAIS WETU MPYA.
Meko na watu wake wametupiga sana ndo maana hakutaka vyombo huru vya habar na upinzan
 
Bado jpm nibora zaidi ukijaribu kuangalia matokeo hatakama njia alizotumia kupata matokeo zilikuwa na ukakasi matokeo yake yalikua mazuri sana na yanaonekana ukilinganisha na hao wafata utaratibu swala la Atcl wote tunajua Hali ilivyo kua alichukua hatua kwa kile alichoweza kikafanikiwa alicho shindwa tupambane kukiweka Sawa lawama hazitu saidii
 
Haya ndio mambo Magufuli alitakiwa ashughulikie yeye akayaacha akawa busy kupambana ili kuumaliza upinzani sasa amekufa na hao hao wapinzani aliyotaka wafe ndio wamekuwa wazikaji wake.

Tatizo lililopo ni kwamba hakuna mipango na mifumo imara ya kupambana na ufisadi eti tunamtegemea rais ambaye naye unakuta ndio fisadi papa. Ufisadi utaendelea tu kushamiri maanake hamna namna.
 
Na hapo halmashauri nyingi zinahonga CAG ili kupata hati safi, hali ni mbaya mbaya
 
Tumedanganywa mengi sana:
HUU MRADI TUNAJENGA KWA PESA ZETU ZA NDANI
IMG_20210406_134335.jpg
 
Hela ilikuwa inaibiwa na wachache , na wanaiba kweli kweli sababu hakuna wa kuwanyooshea , uwazi ulikuwa hamna ,hela iliyobak wanapewa wachina kwenye kandarasi kubwa nao wanaipeleka yote kwao , huku ndani mnabaki hamna kitu .... Kipind cha kikwete wezi walikuwa wengi na wanawekeza humu humu so hela inamfikia kila mmoja Kwa sehemu yake .... Jiwe alikuwa worst president ever basi Tu tusiongee Sana ....
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom