CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.
Huko kwenye ma-group ndiko iliko CCM?

Ma'group" ya walaji ndiyo unaiita CCM?

CCM chini ya Magufuli ilikuwa ni hiyo aliyokuwa ameishikilia Magufuli mwenyewe kama silaha yake ya kuwapigia anaowaona kama wanampinga.

Wewe hukuona alivyowapiga na kuwapondaponda kabisa wale wazee "Makatibu wastaafu", na wengine wote alioona kuwa nitishio kwake?

Nyinyi wa kwenye hayo ma'group' yenu mlikuwa mnakula toka mikononi mwake. Sasa hayupo, unataka muwe na furaha huku njaa imewajaa tumboni?

CCM kwa sasa hivi inaeleaelea tu, haijulikani mwenyewe ni nani.

Huyu mama bado wanamsoma na kumhesabia sabini zake. Akizubaa tu, "Analiwa".

CCM ni mzoga, roho yake inayumbayumba haijui iingie kiwiliwili gani kati ya vilivyopo sasa.
 
Ukweli ni kwamba JPM, wale mahafidhina (conservatives) wa "chama kushika hatamu" walimpenda sana. Ndio hawa walikuwa wanaleta kauli za "mkichagua wapinzani, msahau maendeleo", ndio walikuwa wanalazimisha eti madaktari nao "wawe na ilani ya CCM" kwenye hospitali zao, ndio waliotaka kulazimisha hata askari polisi kusalimia wananachi kwa salamu ya chama. Kwa kifupi walitaka utumishi kwa umma ugeuke utumishi kwa CCM.

Leo kiongozi wao ameondoka, wanaona mama anachepuka kidogo nje ya njia ya Magu wanaanza kununa.
 
Usije ukawa umemficha Kamanda ndani! Unampikia mahanjumati ya kila aina, unamuogesha kwa maji ya iriki, na kila anapotaka kuondoka asubuhi, unaziloeka nguo zake kwenye maji kwa kigezo cha kuzifua!

Halafu baadae unakimbilia huku jukwaani kuja kuwazingua wapambe wake! Mwanamke mbaya wewe!!🥵🥵

Hahahahahahaha hahahahaha hahahahaha hahahahaa nakufa mm kwa raha jamani..hahaha...hahaaa Mbowe babalao jamani🤣🤣. Anamwekea maji ya hiriki anakuja kutuchosha huku🤣🤣🤣...dah .sihami ng'oooo Tz
 
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.

Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.

Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.

CCM kuna tatizo!
Akili zimewarudi na ujinga umeanza kuwatoka,kwani wengi walikuwa wanashangilia kama wendawazimu pasipo kutumia ubongo akili zote zilikuwa kusifu ili waonekane mwisho wa siku wapate teuzi.
 
Usije ukawa umemficha Kamanda ndani! Unampikia mahanjumati ya kila aina, unamuogesha kwa maji ya iriki, na kila anapotaka kuondoka asubuhi, unaziloeka nguo zake kwenye maji kwa kigezo cha kuzifua!

Halafu baadae unakimbilia huku jukwaani kuja kuwazingua wapambe wake! Mwanamke mbaya wewe!!🥵🥵
😄 Huyu Nazgur atakuwa mwanamke wa kitanga
 
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.

Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.

Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.

CCM kuna tatizo!

Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan hahitaji kushangiliwa, mwacheni achape kazi.
Mwacheni a focus kwenye malengo ya taifa kwa style yake. Watu hawafanani......

JPM alikua mcheshi, mwenye masihara, mfuatiliaji, mtekelezaji haswa!!! SSH ni mkimyana, mfuatiliaji wa mambo na mtekelezaji haswa!!!

Msilazimishe wafanane
 
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.

Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.

Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.

CCM kuna tatizo!
Sasa unataka waendeleze sifa za kijinga kama walizokuwa wanampa Mzee baba hadi kufikia kumwita Yesu ?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo.

Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes), hawashangilii wala kupongeza kazi za mama kama zamani.

Niko katika group nyingi za chama za WatsApp na mitandao miingine, yaani ni kimya hata kama kuna tukio litatokea hatutaarifiani. Hii ni kwamba hawakubaliani na Mamlaka iliyopo au wanataka nini? Mzee keshaondoka na mema yake kaacha tumalizie alikoachia acheni chuki tutakigawa chama.

Ukitaka kulifahamu hili angalia wapuuzi wachache walivyomjia juu Chairman wa umoja wa vijana ndugu Heri James kwa kuomba radhi ili kurudisha upendo katika jamii. Vijana hawakutaka hili kabisa wakaamua kumtusi Mwenyekiti kila aina ya tusi wakimwita mwaka tonge.

CCM kuna tatizo!
Waacheni wafu wazikane wenyewe!!
 
Back
Top Bottom