Search results

  1. la la land

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Zamani wazazi walimwandaa mtoto wa kiume aje kuwa msimamizi wa familia kwa kumpa kipaumbele kwenye elimu/ujuzi wakimalizia na urithi/mali kabla hata hawajafa. Saivi tumebanwa na usawa nguvu inaelekezwa kwa wote na mtoto wa kiume anakosa maandalizi makubwa na anayostahili. Mtoa mada...
  2. la la land

    Kiukweli, sio upendeleo au mapenzi, ila huyu ndie msanii bora wa kike hapa Tanzania

    Mimi sio mwangaliaji kabisa wa kazi zetu ila siku nimeangalia nikiwa ugenini niliwaambia waliokuwa pale kuwa huyu anajua anachofanya mbele ya kamera
  3. la la land

    Spear parts for Construction machines

    Kwa sasa nipo Arusha, itabidi nimuagize mtu.
  4. la la land

    Spear parts for Construction machines

    Haijanunuliwa dukani.
  5. la la land

    Spear parts for Construction machines

    Mkuu unaweza kunipa mwanga wapi naweza kupata Clutch master cylinder ya massey Ferguson 3085
  6. la la land

    Natafuta Clutch master cylinder ya Massey Ferguson 3085

    Wakuu, msaada tafadhali. Natafuta Clutch Master Cylinder ya Massey Ferguson 3085
  7. la la land

    Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

    Naona uwepo wenu umetambuliwa huku
  8. la la land

    Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

    laiti watu wangalijua wanavyochezewa bongo zao..
  9. la la land

    Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

    Muda wa kupumbaza walalahoi
  10. la la land

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hapa Arusha jana wamekata anzia saa mbili asubuhi hadi saa tano usiku, na asubuhi hii wamekata tena. Niko hapa natukana kimoyo-moyo.
  11. la la land

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu, uko na ya huawei p20 pro?
  12. la la land

    Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    Usikiogope kifo, wala usihangaike kukipangia kikukute wapi ukiwa na nani. Hawa watu waliokufa bila kurusha miguu wala kupiga kelele za usumbufu nimewaonea wivu mkuu.
  13. la la land

    Ni nani aliyewahi kuuelewa mziki wa Michael Jackson?

    Mzee, acha kabisa! Sasa kijana wetu huyu..
  14. la la land

    Ni nani aliyewahi kuuelewa mziki wa Michael Jackson?

    Alafu kama watu walikuhadithia kuhusu yeye na kwanini yuko kama alivyokuwa sikiliza huu wimbo wake 'Childhood' Na malizia kwa kuangalia documentary yakuitwa 'The Killing of Michael Jackson'
  15. la la land

    Ni nani aliyewahi kuuelewa mziki wa Michael Jackson?

    Ili upate toba ya kweli, sikiliza huku unasoma lyrics za hizi nyimbo; Earth song- Uharibifu wa Mazingira, Madhara ya vita, Ubaguzi wa rangi/utumwa. Gone too soon- Waliotengwa kwa kuugua UKIMWI. Black or white - Anakemea ubaguzi wa rangi Another Part of Me - Umoja Man in the Mirror -...
  16. la la land

    Quuen of the south moja ya series Bora Sana itazame hii.

    Inafikia viwango vya Breaking Bad?
  17. la la land

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Wataalam, scania haitembei kwa barafu nabonyeza batani ipi?
Back
Top Bottom