Search results

  1. T

    CAG Kichere hongera sana, tena sana!

    Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana na ripoti za idara hii muhimu serikalini ya CAG. Kwa kweli ukipata watu wanaofanya kazi zao kwa weledi na wenye hofu ya Mungu utajifunza mengi sana hususani kwenye hizi nchi za dunia ya tatu. Nafikiri kwa uwazi huu huu, ndio uliomfanya CAG kabla ya huyu...
  2. T

    Pongezi kwa TANESCO Dodoma, wanatatua matatizo ya wateja kwa wakati

    Ni mara tatu sasa mfululizo nakumbwa na matatizo ya umeme tena mida mibovu. Kwa mara ya kwanza, tatizo lilipotokea sikujua nianzie wapi bahati nzuri nikapekuwa majina kwenye phone book yangu nikakuta jina moja la mtumishi wa TANESCO. Nikampigia nakumuelezea tatizo langu, kwa kuwa ilikuwa mida...
  3. T

    Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma sikieni kelele za wengi

    Watu wameomba kiwekwe choo cha kusimama kwenye public toilet hamsikii, kweli hii ni haki uongozi tena wenye dhamana ya kusimamia afya za watu. Choo cha public hygienically hakifai kuwa cha kukalia na mbaya zaidi kimoja tu na kinahudumia ma mia. Tusisubiri majanga na wala tusiwe sikio la kufa
  4. T

    Namtafuta mchumba tena kwa mara nyingine

    Salama wakuu, hii si mara ya kwanza kupost kitu ya namna hii. Nahitaj mwenza wapendwa kuanzia umri wa 25 hadi 30. Awe angalau nae ana kijikazi chochote cha kumkeep busy ila kasiwe haramu tu. Elimu kuanzia form 4 mwisho batchelor degree. Awe msukuma au mnyamwez. Maji ya kunde kwa rangi au mweupe...
  5. T

    Excellent excell

    Habari wakuu. Naomba kufahamishwa lile group la wataalamu wa Excell waliokuwa wanatoa huduma Kwa njia ya telegram. Walinisaidia sana kipindi kigumu cha kupanga matokeo ya watoto, kuanzia grades mpaka division. Nisahau password za account yangu ya mwanzo katika kufungua nyingine na topic zao...
  6. T

    A lady with wife material is need now

    Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall. Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani. Kazi: sio lazima awe mwajiriwa coz kuelea kwetu ni moja sifa zetu. Kimo: mrefu wa wastani...
  7. T

    Ile principle ya divide and rule kwa ngozi nyeusi imefanikiwa sana

    Mpaka hapa tulipofikia bado kuna watu wanaendelea kugawanyika kwenye masuala ya kitaifa. Ripoti ya pili imesomwa juzi, watu wakabeza vya kutosha. Haya leo wahusika wamekuja tena mamlaka ya juu kabisa, bado vijembe vinaendelea kurushwa. Wakati wawekezaji wamekili kukaa meza moja nasi tuyamilize...
  8. T

    Jamani huenda uhuru tuliopewa sio halali wala halisi

    Najaribu kufikiri kwa sauti kidogo, ila kabla ya yote naomba kudeclare interest kuwa naipenda sana jf na watu wake wote. Binafsi huwa nasoma tu post za wenzangu ila nataka leo niandike machache kidogo leo. Ukweli ni kwamba karibu nchi zote duniani zilikuwa zimetawaliwa na wakoloni. Na...
  9. T

    Mwenye orodha ya watumishi wenye vyeti vyenye utata, msaada please!

    Kama nilivyotangulia kusema hapo juu, naomba kupewa link yenye orodha hiyo. Yaani cheti kimoja watu wawil au zaidi. Hapa nilipo presha iko juu sana. Me kifupi nimesoma darasa lenye watu wengi wanafanana majina nami nikiwemo. Tusishangae sana mbona wachina wanafanana kwa sura na wanaajiriwa...
Back
Top Bottom