the glassroof
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 295
- 449
Habari wakuu.
Naomba kufahamishwa lile group la wataalamu wa Excell waliokuwa wanatoa huduma Kwa njia ya telegram. Walinisaidia sana kipindi kigumu cha kupanga matokeo ya watoto, kuanzia grades mpaka division. Nisahau password za account yangu ya mwanzo katika kufungua nyingine na topic zao sizioni siku hizi kuanzia hapa if na kule telegram.
Naomba msaada wenu koz before nilikuwa nafungua tu page yao nafanya mambo yangu kwa ufasaha kabisa.
Nawagakia siku njema.