the glassroof
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 295
- 449
Salama wakuu, hii si mara ya kwanza kupost kitu ya namna hii.
Nahitaj mwenza wapendwa kuanzia umri wa 25 hadi 30.
Awe angalau nae ana kijikazi chochote cha kumkeep busy ila kasiwe haramu tu.
Elimu kuanzia form 4 mwisho batchelor degree.
Awe msukuma au mnyamwez.
Maji ya kunde kwa rangi au mweupe ntafurahi zaidi.
Awe mrefu wa kati, si mfupi sana.
Awe hajawahi kuolewa na hajazaa.
Dini yoyote kwangu ni sawa tu.
Sifa zangu kwa ujumla.
Nina miaka 35
Sijawahi oa
Nina kibarua cha kawaida tu Ila kinatosha pesa ya kula
Nina kidgrii kimoja
Niko Dodoma kwa sasa kikazi
Kipindi niko kwenye mizunguko yangu ya maisha kuna binti alibahatika kunizalia mtoto,
Ana maisha yake kwa sasa Ila yuko tayari kunipa mtoto wangu anytime.
Kabila langu ni msukuma typical.
Jamani mnihurumie basi wadada nimechoka kula vibandani na kujipikia mwenyewe.
Umri pia unazidi kwenda na wanzungu wanasema "life begins at 40". Hebu jitokeze basi tuyaanze hayo maisha kama yapo kweli.
Leo ni siku ya ibaada hebu mjitokeze basi mkiwa mnamaanisha ili tusimdhihaki Mungu.
Now naenda kuabudu thereafter ruksa Kunipm kwa aliyeguswa Tu. Wazee wa kusanifu pia ruksa maana ndo ukamilisho wa jamii huo.
Thanks.