Search results

  1. toroka uje mjini

    Kama hukuzaliwa mwaka 2000

    Taja Sheria Moja Ya Mpira Huu[emoji116]
  2. toroka uje mjini

    Mwanamke akiwa na sifa tano kati ya hizi

    Wanajamvi na imani mpo salama usalmini,bila ya kupoteza muda wacha nirejee katka mada yetu ya leo.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kuwa MWANAMKE AKIWA NA SIFA 5 KATI YA HIZI[emoji1427]BASI ANASTAHILI KUPEWA TALAKA KWA ASILIMIA MIA MOJA 1)Mwenye kuisaliti Ndoa yake 2)Mshirikina 3)Asiye...
  3. toroka uje mjini

    Angalia Herufi ya jina lako ili uijue NYOTA yako ya MAISHA

    A- muhongaji B- tapeli + mshirikina C- mcheshi D- fithadi E- mzushi F- mpenda ngono G- mjinga H- mpendwa na wengi I- mjuzi + mbunifu J- muhuni K- wivu mwingi L- maneno mengi M- mtu ano mahaba N- kicheche O-mtulivu P- mchafu Q-hatawahi kupenda R- mcha mungu S- akipenda amependa kweli T- mtulivu...
  4. toroka uje mjini

    Nini maana ya Nabii?

    Inasikitisha saaana kila kukikucha anatokea mtu na kujiita mimi ni nabii flani. Je hao wanafahamu maana halisi ya nabii?Au wanakurupuka tu? Wengine wanahubiri na kuihalalisha pombe kanisani huku akijiita nabii. Hivi hawa wanalijua tafsiri halisi ya maana la neno la Nabii au wana Copy na ku...
  5. toroka uje mjini

    Kwa wale walioachana na wake/waume zao kwenye ndoa

    Habari za siku wanajamvi naona weekend ndio tumeianza,nirejee katika mada yetu ya leo. Ni kitu gani unachokimiss kutoka kwa Mkeo/Mmeo mliokwisha tengana nae kwenye ndoa yenu?Wanajamvi Naomba tukutane huku ili tuichangie hii hoja yetu. Mimi binafsi huwa nakimiss saana chakula alichokuwa akipika...
  6. toroka uje mjini

    Wenye kuchezea watoto wa watu,dawa yenu ipo jikoni

    Natumaini wanajamvi wenzangu wote ni wazima wa afya.Bila ya kupoteza muda turejee katika mada yetu iliopo hapo juu. Leo nlikutana na rafiki yangu nliepotezana nae kwa miaka mingi kutokana na kuhamishwa kikazi.Tulifurahi saana baada ya kuonana na kukutana kwa mara nyingine tena.baada ya mawili...
  7. toroka uje mjini

    Msaada: Nashawishika kutafuta mganga nimloge mpenzi wangu

    Bila ya kupoteza muda, wanajamvi wenzangu nimekuwa nikiteseka saana juu ya shemeji yenu. Ninampenda saana lakini mwenzangu haoneshi dalili zozote za mapenzi kama navyomwonesha mimi. Ukimuuliza kitu utajibiwa kimkato tu,ukimzuia kwenda sehem ndio kwanza kama umemwambia aende ni kiburi muda...
  8. toroka uje mjini

    Tetesi: Sheria ya usafi wa mazingira

    *KUANZIA KESHO 15/01/2018 Ni marufuku kutupa takataka za aina yoyote ile barabarani na sehemu yoyote ile isiyo maalumu. Ukikamatwa fine ya sh 100,000/= inakuhusu na wale abiria wanaorusha takataka nnje ya basi wakiwa safarini fine yake ni 300,000/= kuwa makini kuna watu zaidi ya elfu moja...
  9. toroka uje mjini

    Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya. Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka. Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni BLOOD DIAMOND Solomon Vandy
  10. toroka uje mjini

    Mwandishi: Nini maana ya Ugaidi?

    Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na Ugaidi, akamjibu: Hapana hawakuwa ni waislamu !!! Kisha akamwambia: kabla ya yote unatakiwa uitafute maana ya Ugaidi vizuri, kwani asie muislamu akifanya kosa huitwa ni kosa la...
  11. toroka uje mjini

    Mkutano wa ALAT: Hotuba ya Magufuli imenigusa sana; Alikuwa anaongea kwa uchungu na uzalendo mkubwa kwa nchi yake

    Tuache SIASA tueke pembeni ushabiki wa VYAMA. Nimeifatilia kwa makini saana hii HOTUBA ya Mh,rais John Pombe MAGUFULI ktk MKUTANO wa 33 wa ALAT. Hio hotuba imetugusa saana na Mh alikua akiongea kwa machungu na kwa UZALENDO mkubwa sana wa nchi Imenigusa saana ile ya BANK YA KIMAREKANI kua head...
  12. toroka uje mjini

    Taarifa muhimu: Idara ya kazi kukagua mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani

    Kuna zoezi litafanyika hivi karibuni la watu wa idara ya kazi kupita nyumba kwa nyumba juu mikataba ya kazi kwa wafanyakazi wote ikijumuisha wafanyakazi wa majumbani pia. Wanakagua vitu vifuatavyo: - 1. Mikataba ya Ajira 2. Masaa ya kazi 3. Mazingira ya kazi 4. Malipo ya WCF :- (Hii fine yake...
  13. toroka uje mjini

    Kweli nimemkubali John Pombe Magufuli kwa kurudisha heshima nchini

    Kweli kila jambo lina mwanzo na mwisho wake. Kwasasa abiria kabla hajapanda bodaboda cha kwanza anakuuliza kama una kofia ngumu (helmet) ili umpe aivae kama hauna huyo abiria atatafuta bodaboda ingine. Jambo la kupakia mishkaki kama zama zile kwa sasa akibainika hatua ya kwanza atachukuliwa na...
  14. toroka uje mjini

    Katika maisha ya mke na mume lazima mmoja ajishushe ndo maisha yaende

    Habari zenu wanajamvi wa JF, Kwa mtazamo wangu mimi, Dunia ya leo ndoa nyingi zinavunjika mapema tofauti na ndoa za zama zile walizo funga wazee wetu na hii inaonekana wazi kusababishwa na mume kua juu na mke pia kua juu zaidi, hadi kusababisha ndoa kuvunjika. Kwa mwenye mtazamo tofauti naomba...
  15. toroka uje mjini

    Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni. Nasikia kuna malalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho.Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio? Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya...
  16. toroka uje mjini

    Hakikisha unachukua risiti unapoweka mafuta katika gari yako

    Ukistaajabu ya Firauni ona ya Musa sasa watu wa TRA wakiwa na trafiki wanakupiga mkono ukisimama cha kwanza wanaangalia gej ya mafuta kifuatacho unaombwa risiti ulipowekea hayo mafuta. Kama uliitupa au ulipuuza kuichukua utatamani uzaliwe upya hayo yalimtokea rafiki yangu Surrender Bridge.
  17. toroka uje mjini

    Ukitaka kujua "maini sio nyama" kafoji cheti S. Africa, Zambia au Malawi

    Kinanishangaza sana watu kulalamika juu ya rais wetu kua hatendi haki kuwasimamisha kazi wafanyakazi wa uma waliofoji vyeti. Chakusikitisha zaidi unakuta mtu anasema kua "Ohh huyu alifoji miaka ya 80 sasa amesha qualified na hio kazi "inamaana mwizi alioiba mwaka 1995 akakamatwa 2017 asifikishwe...
  18. toroka uje mjini

    Kwa sasa channel zote za taarifa ya habari nchini hazina mvuto kama habari za mitandaoni

    Hivi inakuwaje lakini nikiangalia taarifa za habari kuanzia channel10, Star TV, ITV, Azam TV na TBC zinakua hazina mvuto kama taarifa au matukio, au habari kama za mitandaoni? Hususani MITANDAO ya SIMU kupitia JF, FB, Twiiter, Insta na mengineyo.
  19. toroka uje mjini

    GARI AINA YA VITZ INAUZWA

    Kuna gari aina ya vitz inauzwa kwa bei poa saana.na gari hio IPO ktk good cindition
Back
Top Bottom