Mwanamke akiwa na sifa tano kati ya hizi

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
1,584
Reaction score
2,118
Wanajamvi na imani mpo salama usalmini,bila ya kupoteza muda wacha nirejee katka mada yetu ya leo.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kuwa
MWANAMKE AKIWA NA SIFA 5 KATI YA HIZI[emoji1427]BASI ANASTAHILI KUPEWA TALAKA KWA ASILIMIA MIA MOJA

1)Mwenye kuisaliti Ndoa yake
2)Mshirikina
3)Asiye kuwa na huruma na mali ya mumewe
4)Asiye kuwa na imani na mumewe wala hamjali
5)Mwenye kutoa mambo yake ya ndani(siri)na kuyaanika nje kwa majirani ama mashoga zake

Akiwa na tabia moja tu kati ya hizo mpe talaka ujue huyo hakufai🤚🏽mnapotezeana muda tu.
Endeleza na wewe sifa zingine unazo zifahamu
 
Na mwanaume mwenye tabia zifuatazo aachwe
1. Mwenye ubinafsi wakati wa tendo. yeye akitoa wazungu weupe anageuka upande wa pili wakati mke wake hajamfikisha afcon
2. Mbabe na dictator kwa mke na watoto
3. Mlevi kupitiliza
4. Anayeendesha familia yake kwa kutumia maoni ya wazazi au maneno ya vijiweni badala ya kuwa na fikra zake kama kichwa cha familia.
 
Akiwa na tabia moja tu kati ya hizo mpe talaka ujue huyo hakufai[emoji1669]mnapotezeana muda tu.

Dah...mruka ukuta[emoji2960]
 
asiyependa kufanya ibada, anayetoka bila ruhusu ukimuuliza mkali, anaependa kununuliwa vitu vya bei mbaya hajali kipato chako, asiependa wazazi wako na ndugu zako.
 
Wanajamvi na imani mpo salama usalmini,bila ya kupoteza muda wacha nirejee katka mada yetu ya leo.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kuwa
MWANAMKE AKIWA NA SIFA 5 KATI YA HIZI[emoji1427]BASI ANASTAHILI KUPEWA TALAKA KWA ASILIMIA MIA MOJA

1)Mwenye kuisaliti Ndoa yake
2)Mshirikina
3)Asiye kuwa na huruma na mali ya mumewe
4)Asiye kuwa na imani na mumewe wala hamjali
5)Mwenye kutoa mambo yake ya ndani(siri)na kuyaanika nje kwa majirani ama mashoga zake

Akiwa na tabia moja tu kati ya hizo mpe talaka ujue huyo hakufai[emoji1669]mnapotezeana muda tu.
Endeleza na wewe sifa zingine unazo zifahamu
Simuachi kwasababu zifuazo. Kama uesharati na Mimi nafanya,Kama kuroga ili yangu yafanikiwe nimeroga sana ila nyie walokole (mnasema maombi) Kama Mimi mwenyewe naonga Malaya na nakula bats club kwanini nimfukuze MKE wangu akiwa anakula bata kwa pesa zangu. Halafu hiyo tabia yenu ya kuwa mabahiri wa matumizi ndiyo maana mnachwa au kumegewa wake zenu .Tokea MKE wako umuoe hata bajaji hujawahi kukodi kwenda kuenjoy yaani we we ukifika home kazi yako wewe Mama boke Rara nikulenge. "Hukumu unayotaka kutoa kutokana na kossa alilofanya hakikisha wewe in msafi 100%.
 
Wanajamvi na imani mpo salama usalmini,bila ya kupoteza muda wacha nirejee katka mada yetu ya leo.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza kuwa
MWANAMKE AKIWA NA SIFA 5 KATI YA HIZI[emoji1427]BASI ANASTAHILI KUPEWA TALAKA KWA ASILIMIA MIA MOJA

1)Mwenye kuisaliti Ndoa yake
2)Mshirikina
3)Asiye kuwa na huruma na mali ya mumewe
4)Asiye kuwa na imani na mumewe wala hamjali
5)Mwenye kutoa mambo yake ya ndani(siri)na kuyaanika nje kwa majirani ama mashoga zake

Akiwa na tabia moja tu kati ya hizo mpe talaka ujue huyo hakufai🤚🏽mnapotezeana muda tu.
Endeleza na wewe sifa zingine unazo zifahamu
Kwenye kusaliti apo mjiulize nn tatizo...kuna mwanaume unakua nae anakufanya wengine wote unawaona kama wanawake yaan kusaliti uwez ukiwa na mwanaume uyu. Nataman nimpate tena alikua zaidi ya mpenzi kwangu..Tulishindwana dini tuu.
 
Na mwanaume mwenye tabia zifuatazo aachwe
1. Mwenye ubinafsi wakati wa tendo. yeye akitoa wazungu weupe anageuka upande wa pili wakati mke wake hajamfikisha afcon
2. Mbabe na dictator kwa mke na watoto
3. Mlevi kupitiliza
4. Anayeendesha familia yake kwa kutumia maoni ya wazazi au maneno ya vijiweni badala ya kuwa na fikra zake kama kichwa cha familia.
Wewe ni mwanamke?
 
MBEKENGA, OLIGE WAITU?
 
Back
Top Bottom