Search results

  1. The Emils

    Unyanyaswaji wa watoto Tanzania wabainika

    Ripoti ya kunyanyaswa watoto Tanzania 10 Agosti 2011 13:10 Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika linaloshughulikia maslahi ya watoto la UNICEF karibu theluthi moja ya watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia na kuingiliwa bila hiari kabla hawajatimia umri wa...
  2. The Emils

    Pinda LIVE BUNGENI maswali ya papo kwa hapo..

    spika anaaza kwa kuelezea utaratibu wa kumwuliza waziri mkuu maswali.. Pinda ananza wizara ya uchukuzi..anaelezea kidogo kuhusu sekta ya uchukuzi..kama member yeyote yupo live please tusaidiane kuwasilisha
  3. The Emils

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikikutana leo jijini Dar es Salaam kumjadili Mbunge Maswa Magharibi, John Shibuda, mbunge huyo amesema hana taarifa za kikao hicho. Kikao hicho kitakachofanyika kinatarajiwa kumjadili mbunge huyo ambaye alihamia Chadema...
  4. The Emils

    Dr Slaa: Nimewasilisha Ushahidi kumshtaki Chenge..

    KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ameendelea kumkalia kooni Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na sasa amewasilisha serikalini uchambuzi wa ushahidi utakaosaidia kumtia hatiani mwanasiasa huyo, dhidi ya tuhuma za ufisadi katika ununuzi wa rada. Dk Slaa aliwasilisha waraka wa...
  5. The Emils

    Zitto Kabwe aripoti Akiwa JUBA sasa hivi

    Zitto Kabwe: Am in Juba-South Sudan, Karibia hotel zote ni 'makeshift' hapa Juba. Baadhi ni containers. Mji umepambwa na picha za Garang. Ulinzi ni wa Hali yajuu sana. V8s, Hummers na Nissan Patrols kila mahala(very unfortunate). Matumaini ya Raia ni makubwa
  6. The Emils

    Ushahidi wa Wabunge utaendelea kufichua mengi...

    USHAHIDI ni ithibati ya kuona kitu au tendo ama kusikia maneno na kuhakikisha kwa kueleza mambo yaliyokuwa yakitendeka; uthibitisho, ushuhuda. Suala la wabunge kutakiwa kutoa ushahidi wa madai yao limepamba moto katika vikao vya Bunge linaloendelea sasa. Mara zote wanaotakiwa kutoa ushahidi ni...
  7. The Emils

    Wajumbe Baraza la Wawakilishi Zanzibar watuhumiana kuhusika na Mihadarati (Madawa ya Kulevya)

    MWAKILISHI wa Matemwe, Abdi Mosi Kombo (CCM), amedai kuwa, dawa za kulevya zinaletwa na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi. Kombo amesema leo kuwa, wajumbe hao wanaingiza dawa hizo kupitia uwanja wa ndege na kupokewa na polisi baada ya kupigiwa saluti. Kabla ya kauli hiyo, Mwakilishi...
  8. The Emils

    Ndimara Tegambwage: Membe anapolia mbele ya Mafisadi

    SITAKI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ahubiri siasa za kuomba huruma. Wiki hii bungeni, alilitaka bunge, Watanzania wote na wenye nia nzuri kwa taifa hili, kusimama na serikali kupinga alichoita “udhalilishaji” wa kampuni ya Uingereza. Kampuni ya Uingereza...
  9. The Emils

    Madudu Mengine ya Wizara ya Maliasili na utalii haya hapa

    WAKATI Wizara ya Maliasili na Utalii ikihaha kuwabeba Wazungu kwenye ugawaji vitalu vya uwindaji wa kitalii, suala hilo sasa limeelekezwa kwa Waziri Mkuu na wabunge ili waweze kuihoji Serikali juu ya ukiukwaji wa kanuni na sheria. Taarifa ya wadau wa uwindaji wa kitalii, pamoja na kuandaa...
  10. The Emils

    PowerBreak Fast Clouds FM na CD ya Ngono

    Leo Asubuhi ktk Clouds FM kipindi chao cha power breakfast..Gerarld anamwambia Pj..umeona ile cd ya xx ya South Africa kuhusu yule kijana wetu yule..Pj kamwambia bado halafu Gerald kamjibu kama anahitaji atamletea tena inauzwa Dar kwa shilingi 2000..Sasa wana Jf hawa kina Pj wameamua kuweka...
  11. The Emils

    Mapacha watatu wapata pa kukimbilia endapo watafukuzwa CCM

    CCM ikiwatimua mapacha watatu tutawapokea-AFP Thursday, June 16, Na Mwandishi Wetu, Zanzibar CHAMA cha Wakulima Tanzania (AFP), kimeweka bayana msimamo wake kuwa ikiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaamua kuwafukuza mapacha wake watatu, chenyewe kitawapokea na kumteua Edward Lowassa kuwa...
  12. The Emils

    Haya ni maoni ya wasomaji wa gazeti la mwananchi"CHADEMA WAMSHTAKI SPIKA MAKINDA"

    ast Updated on Saturday, 18 June 2011 09:12 Comments 12345 0 #63 ahmed 2011-06-18 16:09 Nini sifa ya kuwa mwanasiasa? Je MAFISADI wanasifa ya kuwa wanasiasa? Kikao cha Bunge kilichopita Mh Lisu alitoa hoja na Pinda alipiga kura ya ndio.Je unakubaliana na mimi kuwa Pinda si mtu wa maana na...
  13. The Emils

    Tundu Lissu:Ya Tarime yanukia singida mashariki.

    Migogoro ya madini kati ya wawekezaji na wachimbaji wadogo wadogo yaendelea kushika kasi..vijiji vya Mang'onyi, Taru na Londoni ni baadhi ya vijiji vyenye utajiri mkubwa wa madini aina ya dhahabu..kuna hii kampuni ya shanta mining iliyotumwa na serikali kufanya upembuzi yakinifu na badae kutoa...
  14. The Emils

    Makamu Mwenyekiti BAVICHA achiwa huru

    Makamu mwenyekiti BAVICHA na vijana wengine waliokuwa wakishikiliwa na polisi wameachiwa huru kwa dhamana..Source: Mnyika kupitia fb.
Back
Top Bottom