Search results

  1. Daud omar

    Wanawake wengi huwa wanapenda kufahamu kwanini

    Linapokuja swala la usaliti wadada wengi huweza kuwasamehe wenzi wao wa kiume kiurahisi tu huku wakiamini kwamba na wao kuna uwezekano mkubwa wa wa kusamehewa na wapenzi wao wa kiume endapo swala hilo litakapotokea, lakini mshangao mkubwa huja pale mambo yanapokuwa tofauti na yalivyokusudiwa...
  2. Daud omar

    Wanawake tambueni hatua hizi za mahusiano kutoka kwa wapenzi wenu wa kiume

    Jamani habari za muda huu, nimeona ni wahusishe katika hili hasa baada ya humu jukwaani kuwepo na stori mbili tatu za wadada wakilalamika kuhusu wapenzi wao wa kiume kubadilika hasa kipindi cha mwanzo cha mahusiano. Sio wote, lakini wanaume wengi haswa vijana huwa wapo hivi kulingana na hizi...
  3. Daud omar

    Nyumba Inapangishwa, za kuuzwa pia zipo

    House for Rent Mbagala, Dar Es Salaam, Tanzania Ipo Mitaa ya Kokoto karibu na shule ya St. Mary,s barabara ya kilwa Road Kodi ni Laki 3 miezi 6 mpaka 12 Nyumba pia inauzwa Millioni 90 kwanaehitaji Nyumba ya Ukweli Sifa zake -Ina fence na ukubwa wa kupaki gari 4 -Ina vyumba vi 4 na...
  4. Daud omar

    Samsung Galaxy Tab 3 Inauzwa

    Bei ni laki 4 na 20 pekee ukihitaji kwa mawasiliano zaidi ni PM
  5. Daud omar

    Nyumba inauzwa

    Ni nyumba ambayo bado haijaesha kujengwa, imefkia katika hatua ya Linta Inauzwa Bei: 22 milioni (Maongezi) Mahali: Chamazi kwa Mkongo Ukubwa wa kiwanja ni Mita 206 Kiwanja kilichotumika kwa ujenzi ni mita 151 Ukubwa wa Parking: ni gari ndogo 2 Kwa mawasiliano na maelezo zaidi ni PM
  6. Daud omar

    Bei ya Sikukuu Toyota Fun Cargo

    Toyota Fun cargo for Sell Price 7.5 Million but negotiable ( Bei mazungumzo ) Car-Automatic Engine VVTI 1299 Manf. 1999 For more info. Call or Whatsapp 0712800858 / 0767820878
  7. Daud omar

    Toyota fun cargo inuzwa

    Price 7.5 Car-Automatic Engine VVTI-1299 Manf. Year 1999 Mahali ilipo Arusha Ina miezi 6 tangu imeingia TZ na imesafiri safari moja tu ya kuitoa Dar kwenda Arusha Mawsiliano ni PM au piga 0767820878 Ahsante na munisamehe kwa kuchelewesha picha umeme ulitatika wakat najaribu kuposti hili...
  8. Daud omar

    Utafiti: Forever young ya Jay Z, ama Uzee mwisho Chalinze??? Ungana na utafiti huu...

    Watu wengi wangetamani kuona hawazeeki, wanabakia na nguvu za ujana na kwa sababu hiyo wanasayansi wanatafiti kupata ufumbuzi. Vyuo vikuu vitatu maarufu duniani vimekuja na matokeo ya utafiti ambao unaweza kukata kiu ya wengi ambao hawatamani kamwe kuzeeka...
  9. Daud omar

    Utafiti: Forever young ya Jay Z, ama Uzee mwisho Chalinze??? Ungana na utafiti huu...

    Watu wengi wangetamani kuona hawazeeki, wanabakia na nguvu za ujana na kwa sababu hiyo wanasayansi wanatafiti kupata ufumbuzi. Vyuo vikuu vitatu maarufu duniani vimekuja na matokeo ya utafiti ambao unaweza kukata kiu ya wengi ambao hawatamani kamwe kuzeeka...
  10. Daud omar

    Taarifa ya Serikali kwa umma kuhusu homa ya Dengue

    Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwa baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam...
  11. Daud omar

    Hati miliki ( Copyright )

    Jamaani anae fahamu na anijuze wapi wanapatikana hao jamaa wanaohusika na usajili wa kazi ya mtu na kutoa hatimiliki yaani ( Copyright ) au hata kusajili Brand, logo ya kampuni na vyenginevyo pamoja na gharama zake AHSANTENI
  12. Daud omar

    "Cigar kubwa Zinauzwa"

    -Romeo & Julieth ndio brand ya hizi Cigar ambayo ilianzishwa miaka 130 iliopita yani 1875 huko Dominican Republic, kabla ya makao makuu yake kuhamishiwa nchini CUBA -Ni sigara ambayo inatengenezwa na tumbaku ambayo imesindikwa vizuri ambayo hulimwa katika nchi za Carribean kama vile Haiti na...
  13. Daud omar

    "Kumbe Mandela aliwahi kuchukuwa Uraia wa Tanganyika (Tanzania) kwa muda"

    Wakati wa safari yake kuelekea Lagos Nigeria kwenye mkutano wa viongozi wa mataifa huru ya Afrika kupitia Sudan, Msuko suko ulianza pale abiria walipopanga foleni kupita kwa watu wa forodha. Mandela hakuwa na passport. Mfukoni alibeba nyaraka alizoandaliwa na Serikali ya Tanganyika...
  14. Daud omar

    "Wadada Poa Kenya waboresha kidogo"...

    Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini Kenya inayojihusisha na maswala ya kijamii nchini humo imebaini kuwa wawanawake wanafonya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (wadada poa) hutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya Ukimwi maarfu PEPS ambazo ni maalumu kwa wahanga wa matukio ya...
  15. Daud omar

    Msaada tafadhali

    11,000 inasomeka ELFU KUMI NA MOJA!! Hii tena 10,100 inasomeka ELFU KUMI NA MIA MOJA Hii je itasomekaje? 10,001 Kwa atakayeweza plz.
  16. Daud omar

    Serekali imeshindwa kugundua taifa linataka nini..

    Big result(kwa maana ya matokeo makubwa) ama taifa linataka Elimu bora kwa maana ya kwamba ya mwanafunzi anaepata matokeo makubwa (big result ya kwenye cheti) anaupeo wa kiasi gani wa kufanya jambo katika hali ya kawaida ya maisha??.. Kama tunataka taifa la watu ambao watakuwa na vyeti...
  17. Daud omar

    Sio wew unambwera mbwera tu, tunaposema kujali..

    tunamaanisha anasimamia show muhimu kama vile Kumtoa out mwenzake, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena -Sasa wew mwenzetu kujali unadhani ni kujiunga na extreme ya kutwa nzima na kuanza kumimina mesej kuanzia asubuhi mpaka usiku eti mara bebi...
  18. Daud omar

    Kama na hapa hawata toboa, hawa wadogo sijui wapewe nini tena??..

    ALAMA ZITAKUWA KAMA IFUATAVYO A ni 75 hadi 100; huu ni ufaulu uliojipambanua B+ ni 60 hadi 74; huu ni ufaulu bora sana B ni 50 hadi 59; huu ni ufaulu mzuri sana C ni 40 hadi 49; huu ni ufaulu mzuri D ni 30 hadi 39; huu ni ufaulu hafifu E ni 20 hadi 29; huu ni ufaulu hafifu sana F...
  19. Daud omar

    Umenipendea nin??..

    Swali dogo lakini, huwa ni gumu kujibu nyie huwa munajibu vp jamani?
  20. Daud omar

    "Ni kweli Ama Wizi mtupu???..

    Hivi kuna uwezekano wa kuwepo urafiki wa kawaidi tu wakushibana tena wa muda mrefu kati ya Mwanamume na Mwanamke tofauti na wakimapenzi??, Au ndio wizi mtupu.. -Na kama upo, hivi unakuwaje?? -Unakuwa kama urafiki mwingine au vp?? -Na wewe ambae mwenza wako anakuambia yule ni rafki yangu wa...
Back
Top Bottom