Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,460
- 987
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini Kenya inayojihusisha na maswala ya kijamii nchini humo imebaini kuwa wawanawake wanafonya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama (wadada poa) hutumia dawa za kujikinga na maambukizi ya Ukimwi maarfu PEPS ambazo ni maalumu kwa wahanga wa matukio ya ubakaji ambapo mhanga hupewa kabla ya masaa 24 ya tukio ili kuepusha hatari ya kupata maabukizi hayo
Akiongea mmoja wa dada poa hao kutoka Mombasa kwa sharti la kutotajwa jina alisema..Nanukuu "Sis hupenda kufanya bila mpira yani(CONDOM) kwaajili ya kuvutia wateja na kuhakikisha soko linakua kwa minajili ya kuengeza kipato"..Mwisho wa nukuu
Hata hivyo walipoulizwa dawa hizo huwa wanazipatia wapi hawakua tayari kusema, ila utafiti ulionesha huwa wanazipata kutoka kwa wafanyakazi mbali mbali wa taasisi za kiafya nchini humo kwa njia ya rushwa..
Na walipouliza kuhusu wateja huwa hawana hofuu juu ya Afya zao?? walisema "Wateja wengi hupendelea kufanya bila mpira, tena hasa wale wa kigeni na hutoa dau kubwa"..