Cigar kubwa zinauzwa

Cigar kubwa zinauzwa

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
986
-Romeo & Julieth ndio brand ya hizi Cigar ambayo ilianzishwa miaka 130 iliopita yani 1875 huko Dominican Republic, kabla ya makao makuu yake kuhamishiwa nchini CUBA

-Ni sigara ambayo inatengenezwa na tumbaku ambayo imesindikwa vizuri ambayo hulimwa katika nchi za Carribean kama vile Haiti na Jamaica pamoja na baadhi ya nchi za Latin America ikiwemo CUBA

-Ni Cigar ambayo imejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kutumiwa na baadhi ya Viongozi wakubwa na watu mashuhuri tangu kuanzishwa kwake mpaka leo hii

Wakiwemo

-Fidel Castro Rais wa kwanza wa CUBA na Ernest Cheguevara ambao wote ni wanamapinduzi wakubwa duniani, na walikuwa wakitumia sana Cigar hizi katika harakati zao

-Wiston Churchill
aliyewahi kuwa Waziri mkuu wa Uiengereza ambae aliongoza nchi yake katika vita ya kwanza ya dunia pia alipendelea sana Cigar hizi

-Rick ross au maarufu kama "The boss" pia ni mpenzi mkubwa wa Romeo & Julieth Cigar

-BEI ZAKE

Moja ni
TSH 13000/=

Packet nzima ni
TSH 270000/= Zipo 23


Romeo_y_Julieta_Duke.jpg
celeb_fidel.jpg
filepicker_rick_ross_cigar.jpg
 
We jamaaa akili huna, unatangaza ktu na bdo wasifia kma kunamchanganyiko na bangi ss hyo c madawa ya kulevya tayar!!!!! Mie n mpenz wa cigar bt kwa hil mkuu umeniangusha
 
We jamaaa akili huna, unatangaza ktu na bdo wasifia kma kunamchanganyiko na bangi ss hyo c madawa ya kulevya tayar!!!!! Mie n mpenz wa cigar bt kwa hil mkuu umeniangusha

Mkuu hii ni biashara lazima uwe muwazi, sitaki nikuuzie leo kesho ukaanze kulalamika pembeni umepigwa changa la macho, hata hivyo sio zote zinamchanganyiko huo ni baadhi ya sample tena kwakiasi kidogo sana kwa wale wanaopenda hiyo ladha
 
watu humu hawavuti cigar,hzo zimebak za kwako upate kansa vzur!
 
izo cigar inabidi uwe na afya nzuri vinginevyo unaweza kujinyea!
mambo ya rick ross hayo!
 
Hizi watafute wauza sura na wasanii maana kwenye nyimbo akitokea ana smoke day shit anauza, unless other wise soko huria wish you biashara njema
 
Kumbe wanaojiua mapafu na wanaojitafutiaga kansa wanatumia hela sana eeeh?
 
Ndio mkuu kuna mchanganyiko huo, lakini sio sana kivile si unajua ladha tena
Wenzako wauza biskuti zenye bangi wapo lupango wewe unatangaza siga za bangi, jiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom