Daud omar
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,460
- 987
Linapokuja swala la usaliti wadada wengi huweza kuwasamehe wenzi wao wa kiume kiurahisi tu huku wakiamini kwamba na wao kuna uwezekano mkubwa wa wa kusamehewa na wapenzi wao wa kiume endapo swala hilo litakapotokea, lakini mshangao mkubwa huja pale mambo yanapokuwa tofauti na yalivyokusudiwa, sio kwamba wanawake peke yao ndio wameumbiwa roho ya huruma na upendo kuliko wanaume hapana, lakini ni kwamba haya maswala huchangiwa na tofauti tatu kama sio nne zilizopo kati ya mwanamume na mwanamke katika mambo yafuatayo:
1. Mtazamo wa jami, huu mtazamo umejengeka karne na karne nyingi sana kwamba men are polygamous in nature, kwahiyo usaliti wowote watakao ufanya huu msemo hutumika kujastify makosa yao, na maskini ya munugu wanawake wengi wana fall prey na kuamua kurudi nyuma na kusamehe kwa kuamini kwamba hii tabia ni asili ya uwanaume.
2. Saikolojia ya wanaume wengi kama sio ya jamii kwa ujumla imejengeka kwamba mwanamke yoyote anayeweza kuwa na uhusiano na wanamume zaidi ya moja kwa wakati moja basi huyo ni malaya bila ya kujalisha kwamba kuna sababu amabazo zilimpelekea hivyo pengine mahitaji muhimu, au kutotimiziwa haja zake za kinyumba (hapa nazungumizia kwa wanandoa), pia hata vishawishi mbali mbali kama vile marafiki na anasa mbali mbali pia huchangia, lakini kwa upande wa mwanamume kwake jamii humuangalia kwa upande wake na ni rahisi kumelewa anapokuwa amejihusisha na mahusiano na zaidi ya mwanamke mmoja kwa wakati mmoja tofauti na mawanamke na ndio maana huwezi kukuta malaya wa kiume, zaidi ni majina tu mbali mbali ambayo hupatiwa kushabihiana na tabia hiyo kama vile sjui kiwembe, sjui paka shume, sjui fataki na mengineyo mengi tu
3. Biologia maumbile ya mwanaume na mwanameke yanatofautiana kwa kiasi kikubwa na hasa tunpohusisha sehemu za nyeti, mwanamke ameumbiwa stara (maana yake ni kwmaba nyeti yake ni lulu), kwahivyo linapokuja swala la kusalitiana wanawake kwao huwa disadvantageous kuliko wanaume, mwanamke anapokuwa ametembea na mwanamume mwengine na mwanamume alienae kwenye uhusiano akajua ile hadhi yake huwa inashuka mbele ya mwanume yule (ni kama kutoa pipi kwenye ganada lake na kuliweka peupe) kitua ambocho huwapelekea wanaume wengi kushindwa kurudisha moyo nyuma na kusamehe, na ndio maana dhana ya ngono kwa mwanamke muda mwengine huwa kama fedheha, na wanawake wengi wanapoaanza mahusiano huwa hawapendi kutanguliza ngono mbele tofauti ilivyo kwa wanaume wengi.
4. Dhana ya umiliki, kwamba mwanamke ni wa kumilikiwa na mwanaume tu tena moja, tofauti na mwanamke amabae dhana hiyo ya umiliki wa wanaume wengi ilipita pembeni, kitu ambacho inapotokea swala la usaliti hupelekea wanaume wengi kuamini mji wake umeavamiwa na haufai tena kwa makaazi na kama kuendelea kuishi tena hapo basi ni kujishushia heshima ya utawala maana ameshaingia mtawala mwengine, na dio maana ndoa nyingi au hata katika mahusiano ya mapenzi mengi anayofumaniwa mwanamke huwa ni aghlabu sana kudumu
N.B: hizi in sababu tu amabzo hupelekea tofauti ya misamaha hiyo au kuathiri misamaha inayotelwa kati ya mwanamume na mwanamke sio kwamba wanume hawasamehe au hakuna wanaume wanaosamehe naomba nieleweke vizuri katika hili.