"Kumbe Mandela aliwahi kuchukuwa Uraia wa Tanganyika (Tanzania) kwa muda"

Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,458
1,225
Wakati wa safari
yake kuelekea Lagos Nigeria kwenye mkutano wa viongozi wa mataifa huru ya Afrika kupitia Sudan, Msuko suko ulianza pale
abiria
walipopanga
foleni
kupita kwa watu wa
forodha. Mandela hakuwa
na passport.
Mfukoni alibeba
nyaraka
alizoandaliwa
na Serikali ya Tanganyika
kwa msaada wa
Nyerere.
Nyaraka hizo
zilikuwa ni
kama za kumtambulisha
Mandela tu.
Ziliandikwa; “ This is
Nelson
Mandela, a
citizen of
the Republic
of South Africa. He has
permission
to leave
Tanganyika
and return
here.” ( Nelson Mandela, Long
Walk To
Freedom)" Nyaraka hii
iliandikwa
kiufundi
sana ili
kumlinda
Mandela. Tafsiri yake
ni kuwa, kama
Mandela
angepatwa na
matatizo
njiani, basi, inazitaka
mamlaka
nyingine
zifanye
taratibu za
kumrudisha Tanganyika, na
sio Afrika
Kusini
anakosakwa na
makaburu. Hata hivyo,
nyaraka inaacha
maswali kwa
afisa yeyote
wa uhamiaji, hata
kwa wakati huo. Mathalan,
kama Mandela
ni raia wa
Afrika Kusini
au Tanganyika??
 

Attachments

  • 15-12-13-09-45.jpg
    File size
    30.8 KB
    Views
    639

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,658
2,000
Kwangu Mandela ni raia wa Africa, hahitaji passport kuingia nchi yeyote! Amandla!
 

Senior Lecturer

Senior Member
Jan 19, 2013
177
225
Wakati wa safari
yake kuelekea Lagos Nigeria kwenye mkutano wa viongozi wa mataifa huru ya Afrika kupitia Sudan, Msuko suko ulianza pale
abiria
walipopanga
foleni
kupita kwa watu wa
forodha. Mandela hakuwa
na passport.
Mfukoni alibeba
nyaraka
alizoandaliwa
na Serikali ya Tanganyika
kwa msaada wa
Nyerere.
Nyaraka hizo
zilikuwa ni
kama za kumtambulisha
Mandela tu.
Ziliandikwa; “ This is
Nelson
Mandela, a
citizen of
the Republic
of South Africa. He has
permission
to leave
Tanganyika
and return
here.” ( Nelson Mandela, Long
Walk To
Freedom)" Nyaraka hii
iliandikwa
kiufundi
sana ili
kumlinda
Mandela. Tafsiri yake
ni kuwa, kama
Mandela
angepatwa na
matatizo
njiani, basi, inazitaka
mamlaka
nyingine
zifanye
taratibu za
kumrudisha Tanganyika, na
sio Afrika
Kusini
anakosakwa na
makaburu. Hata hivyo,
nyaraka inaacha
maswali kwa
afisa yeyote
wa uhamiaji, hata
kwa wakati huo. Mathalan,
kama Mandela
ni raia wa
Afrika Kusini
au Tanganyika??
Hata Miriam makeba alipewa pp ya tz na Mwl
 

masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
16,167
2,000
Wakati wa safari
yake kuelekea Lagos Nigeria kwenye mkutano wa viongozi wa mataifa huru ya Afrika kupitia Sudan, Msuko suko ulianza pale
abiria
walipopanga
foleni
kupita kwa watu wa
forodha. Mandela hakuwa
na passport.
Mfukoni alibeba
nyaraka
alizoandaliwa
na Serikali ya Tanganyika
kwa msaada wa
Nyerere.
Nyaraka hizo
zilikuwa ni
kama za kumtambulisha
Mandela tu.
Ziliandikwa; “ This is
Nelson
Mandela, a
citizen of
the Republic
of South Africa. He has
permission
to leave
Tanganyika
and return
here.” ( Nelson Mandela, Long
Walk To
Freedom)" Nyaraka hii
iliandikwa
kiufundi
sana ili
kumlinda
Mandela. Tafsiri yake
ni kuwa, kama
Mandela
angepatwa na
matatizo
njiani, basi, inazitaka
mamlaka
nyingine
zifanye
taratibu za
kumrudisha Tanganyika, na
sio Afrika
Kusini
anakosakwa na
makaburu. Hata hivyo,
nyaraka inaacha
maswali kwa
afisa yeyote
wa uhamiaji, hata
kwa wakati huo. Mathalan,
kama Mandela
ni raia wa
Afrika Kusini
au Tanganyika??
Mkuu nyie vijana wa siku hizi hamuelezwi juu ya harakati za ukombozi kusini mwa Afrika kkisawasaa.

Wananchi wengi sana kusini mwa Afrika walikimbia nchi zao ili wasiteswe na kuuwawa.
Vijana ndio walikimbia nchi zao kujiunga na vyama vya ukombozi wa nchi zao, iwe SWAPO, FRELIMO, ANC , ZANU ,ZIPA na vyama vingine vingi vya ukombozi.
Tanzania tuliwapokea wote toka Afrika Kusini, Angola, Msumbiji, Namibia na hata Zimbabwe.

Ndio maana ukienda nchi hizo jina la Mwalimu ni kubwa sana.
Hapo Temeke mitaa ya Wailese mimi nimekaa na vijana wengi sana wa Umkhonto we Sizwe, na hata kusali nsoho kanisa la Kkkt Temeke.
Hiyo ni mwanzoni mwa miaka ya sabini.

Wengi wa vijana hawa walipelekwa nchi rafiki kwa kujifunza maswala ya kijeshi, cnhi kama Yugoslavia, Ujerumani Mashariki, Cuba na hata Uchina ,Urusi Libya na Algeria.

Kwavile walifika nchi hii bila karatasi lolote, na hata wasingepewa makaratasi yoyote na serikali zap dhalimu, Tanzania iliwapa passports kwa safari zao.

Na hiyo ndio ilikuwa ndani ya filosofia ya Mwalimu katika kutekeleza uhuru ea Mwafrika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom