Sio wew unambwera mbwera tu, tunaposema kujali..

Sio wew unambwera mbwera tu, tunaposema kujali..

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
tunamaanisha anasimamia show muhimu kama vile
Kumtoa out mwenzake, hela za lace wig, mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na mambo kibwena

-Sasa wew mwenzetu kujali unadhani ni kujiunga na extreme ya kutwa nzima na kuanza kumimina mesej kuanzia asubuhi mpaka usiku eti mara bebi umekunywa chai??, mara umevaa nini??,
mara bebi karibu lunch, mara bebi umelala?? Asipo kujibu bebi mbona kimya?? Kwa style hiyo kuku wako akiliwa wewe kua mpole tu tena usije humu kulalamika..

Wenzio huko wanatuma hela kwanza alafu mesej zinafuata..
....USIKU MWEMA...
 
Back
Top Bottom