Hati miliki ( Copyright )

Hati miliki ( Copyright )

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,460
Reaction score
987
Jamaani anae fahamu na anijuze wapi wanapatikana hao jamaa wanaohusika na usajili wa kazi ya mtu na kutoa hatimiliki yaani
( Copyright ) au hata kusajili Brand, logo ya kampuni na vyenginevyo pamoja na gharama zake

AHSANTENI
 
Mkuu Daud niliwatafuta hawa watu Dar siku 2!! Kuja kuwapata ilikua bahati.
Iko mikocheni, ukivuka tu mataa ya kutoka namanga kwenda makumbusho pale jengo la airtel, acha kona ya kwanza kulia kata ya pili, mbele kidogo ya makao makuu ya AAR opposite na Chinese restaurant. Utaona kakibao kadogo kamaeandikwa COSOTA.
Process za kusajili ni kama elfu 35 hivi pamoja na kuwa mwanachama. Baada ya hapo kila idea mpya unailipia 1000 nafikiri. Kuna mdada muelewa sana tu pale utakutana nae.
 
Mkuu ahsante sana kwa taarifa ngoja nitafuatilia, Lkn vp wanasajili idea tu ama wanasiji na vitu vyengine kama logo za biashara na brand?? nilitaka nifahamau na hilo pia
 
Back
Top Bottom