Search results

  1. mtotomtamuu

    Mnaofanya biashara na Maaskari mna Moyo sana, Nimeshindwa kuwavumilia

    Ni mwaka wa tatu sasa nipo kwenye biashara ila katika changamoto nilizopitia mojawapo ni kufanya biashara na watu wanaoitwa maaskari aisee baadhi waliwahi kunizingua Mmoja nilimtumia mzigo mkoa kama mkopo akasema anamchukulia na rafiki yake siku ya kulipa ilipoklfika akamtupia mzigo tafiki yake...
  2. mtotomtamuu

    Nina mashaka sana na utoaji wa ajira za TPA

    Katika ajira zilizotangazwa juzi na TPA waliita watu wengi hadi ambao hawajasoma course maalu ya mambo ya Bandari ambayo inatolewa na chuo chao cha Bandari, na kwa bahati mbaya wakaita kwenye interview watu ambao hawakusoma mambo ya Bandari kwenda kwenye interview, na kwa bahati mbaya zaidi...
  3. mtotomtamuu

    Naanza kuamini wafanyabiashara wa mafuta wana nguvu sana

    Moda msiunganishe huu uzi. Kwa kweli hawa watu nadhani wana nguvu ya ziada na nnaamini kuna vigogo wengi wanadeal na hii biashara maana ni kama Serikali inawabeba sana. Fikiria akiba ya mafuta ni ya miezi miwili nyuma ila bei imepata matuta yamepandishwa hapo hapo ndani ya muda huo huo, mafuta...
  4. mtotomtamuu

    Wanaosema Diamond hajui kuimba ni wivu au ni kweli?

    Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini Mcheki hapo akiimba live maana naona kijana kwa sasa ni Tajiri ana kila kitu ambacho hata sasa akisataafu mziki ataendeea kuishi maisha ya...
  5. mtotomtamuu

    NMB wana makato ya ajabu ajabu

    yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia Bank kama DTB kwa...
  6. mtotomtamuu

    ASAS boresheni maziwa yenu ya mtindi, hayana ladha nzuri

    Pesa mnayotumia Asas kujibrand kwenye mitandao na kuwapa wasanii ni heri muitumie kuwekeza kwenye kuboresha maziwa yenu yawe na viwango vya juu kama Brand yenu mnavyoitangaza, ubora wa bidhaa zenu utachangia pia kuwatangaza kusema ukweli maziwa yenu hasa yale ya mtindi ni mepesi na hayana mvuto...
  7. mtotomtamuu

    Rais Samia ajifunze kwa Rais Mwinyi Zanzibar

    Moja ya sifa kuu ya Kiongozi ni kupambana hali za wananchi wako waliokuchagua ziwe na unafuu na sio kuzidisha makali, Wakati Mhe Mwinyi akikemea watu kupandisha bei za vitu hovyo Zanzibar, Rais Samia yeye anakoleza moto kwenye kuni kuwashinikiza wafanya Biashara wapandishe vitu bei ule haukuwa...
  8. mtotomtamuu

    Ni sahihi Mwanaume kumpokonya simu aliyomnunulia mwanamke baada ya kusalitiwa?

    Jamani mmeamkaje Shoga yangu mmoja hakuwa hewani kwa siku saba hivi tukashtuka ikabidi twende kwao kumuulizia kama kwema maana si kawaida kupotea hewani vile, kufika tukamkuta mzima ila tukamuuliza kulikoni hapatikani hewani mda mrefu hivyo akadai kuwa wameingia ugomvi mkubwa na bwanaake baada...
  9. mtotomtamuu

    Wanawake wengi tunaingia kwenye ndoa na wanaume ambao hatujawapenda

    Eeh, Kuna anayebisha? Baada ya kuaona matukio mengi ya mauwaji, wanawake tunachinjwa kila siku nimeona niuseme ukweli huu.. wanawake wengi tunaingia kwenye mapenzi na tusiowapenda sababu ya kutafuta maisha mazuri tu na ndio maana ndoa tunaichoka mapema na mwanaume ukishamwingia moyoni hakuachi...
  10. mtotomtamuu

    Nawezaje kupokea fedha kutoka Zimbabwe, Malawi, Zambia

    Kuna biashara nataka kufanya naombeni mnielekeze njia za malipo kwa watu walio nje katika nchi nilizotaja, nawezaje pokea malipo kutoka kwao, njia zipi nitumie, kuuliza si ujinga.
  11. mtotomtamuu

    Siku 45 za mateso ya kupumua hatimaye nimepona, Utukufu kwa Mungu

    Tarehe 23 Mwezi wa nne ndio tatizo lilianza nikiwa kazini, yalianza kama mafua then jioni ikaja homa kali sana, ikabidi asubuhi niende kituo cha afya kupima wakaniambia nna Malaria na UTI pia so nikapewa mseto na Azuma nitumie, baada ya siku tatu sikuona nafuu yoyote mafua ndio yalikata tu ila...
  12. mtotomtamuu

    Haya mateso wanayopata abiria wa daladala ni makubwa. Serikali iwe na huruma!

    Ifike mahali Serikali yetu iwe kitu kimoja linapokuja suala la msimamo halisi wa Nchi. Nchi nzima iegemee kwenye ukweli ili kama haya mateso tunayapata tujue tunayapata kwa usalama wetu au kwa ajili ya siasa Nimetoka Ubungo leo kuelekea mbagala hadi sasa Serikali haijaruhusu magari kusimamisha...
  13. mtotomtamuu

    Huyu Dada ametimiza miaka 50 lakini yupo kama Binti Kigoli

    Amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, amezaliwa mwaka 1970, ametimiza miaka 50, japo watu wengi hushangazwa na umbo lake kuwa kama binti mdogo
  14. mtotomtamuu

    Msaada huu mmea unaitwaje?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mtotomtamuu

    Njia pekee ya kuondoa mgogoro kati ya Kenya na Tanzania Mipakani hii hapa

    Nimeona mda wa wiki kadhaa kumetokea sintofaham baada ya Kenya na Tanzania kuanza kutunishiana misuli huko mipakani kutokana na janga la korona. Sasa solution pekee ni hii [emoji116] Eneo la mpakani kuwe na kituo kimoja ambacho kitakuwa na wataalam wa nchi mbili ambao watachukua vipimo vya...
  16. mtotomtamuu

    Hii ndio sababu inayotufanya tukimbie kuwaoa Masingle Mother

    Nimeicopy kwa Hshem Humud from facebook Ukioa owa for your own Risk Wengi tunakimbia kuwaoa hawa sababu huwa na mawasiliano na wanaume waliowazalisha, ni ngumu kumtenganisha Single Mother na Mwanaume aliyemzalisha na mara nyingi kujikumbushia huwa hawaoni tabu Ukiuliza unaambiwa mtoto tu ndio...
  17. mtotomtamuu

    Corona ikisambaa kwenye Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi, Maisha yatakuwa magumu mara kumi ya hapa

    Leo nimenunua sukari kilo moja 4000, wakati siku kumi zilizopita nilinunua 2600, wauzaji wanasema sukari ya nje imehadimika na ya ndani ni chache nayo ni adimu, maana yake nchi zilizokuwa zinatupiga tafu kutuuzia sukari kubalance soko la ndani zipo kwenye lockdown au zimeathirika vibaya na...
  18. mtotomtamuu

    Kiongozi wetu anajali maslahi ya Vitu kuliko watu

    Tokea awamu hii ianze ameweka mbele sana na kuyapa thamani maendeleo ya vitu kuliko watu wake, Rejea matetemeko na majanga ya maafuriko hajawahi kukanyaga hata mara moja sana sana ni kuwapa waathirika maneno ya vijembe na kuwaambia hamna chakula cha bure. Rejea Daraja lilipokatika juzi hapa...
  19. mtotomtamuu

    Ofisini kwetu wapo kwenye vikao vya mwisho kuamua likizo ya lazima hali si nzuri

    Mimi nafanya kazi kwenye kampuni kubwa tu, Kuanzia wiki iliyopita kumekuwa na vikao vya wakurugenzi na mmiliki wa kampuni hali imekuwa mbaya, raw materials zote za uzalishaji wa material ya kutengeneza matrailer mali nyingine hamna, nchi zilizokuwa zinategemewa kuingiza material kutoka Ulaya...
  20. mtotomtamuu

    TV4Sale Nauza Tv ya star x 32 inch bado mpya

    Bado mpya nahitaji kununua 50 inch weka ofa yako hapo [emoji116]
Back
Top Bottom