NMB wana makato ya ajabu ajabu

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia

Bank kama DTB kwa kweli naona makato ya ajabu ajabu hamna , DTB niliwahi acha pesa mwaka 1 bila kutoa wakanipa na zawadi kama ya sh 34,000 kama faida ila hawa NMB Ukiweka hela ndio kwanza wanaitafuna
 
Bora NMB kuliko CRDB,wajuvi wa mambo mtusaidie n bank ipi walau wana makato madogo na iko accessible vjjn na mijini?

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Hakuna bank ambayo iko vijijini kwa sababu za usalama ila kuna mawakala binafsi vijijini.

Hata wewe kijijini kwenu unaweza kuanzisha ki-digital bank chako ukawa wakala wa bank zoooote
 
yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia

Bank kama DTB kwa kweli naona makato ya ajabu ajabu hamna , DTB niliwahi acha pesa mwaka 1 bila kutoa wakanipa na zawadi kama ya sh 34,000 kama faida ila hawa NMB Ukiweka hela ndio kwanza wanaitafuna
Nadhani NMB wana afadhali,CRDB ndo wana makato balaa hata sina hamu nao
 
Equity Bank ni kama umeweka hela mfukoni mwako, tatizo matawi yao machache!
Wakenya wanaupiga mwingi hadi kwenye nchi yetu!
Ni Bank Pekee ambayo ukituma pesa kwa PayPal kisha ikirudishwa inaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako (hapa nawapongeza sana)

Usihangaike na matawi mkuu, matawi ni machache ila mawakala ni wengi,

unaijua Banc ABC wewe? Hii ndo Bank yenye matawi machache na mawakala ni wachache zaidi kuliko idadi ya matawi
 
yaani nimejiunga na benki yao ila kuna vitu nimekuja kugundua kuwa hawa wana makato makali kuliko benki nyingine, kutoa pesa atm wana makato makubwa kuliko wengine, na nimekatwa 1500 wanasema hela ya saving yaani kumbe pesa zangu kuweka tu kuna pesa ya kuwalipa kunihifadhia

Bank kama DTB kwa kweli naona makato ya ajabu ajabu hamna , DTB niliwahi acha pesa mwaka 1 bila kutoa wakanipa na zawadi kama ya sh 34,000 kama faida ila hawa NMB Ukiweka hela ndio kwanza wanaitafuna
Tuulize tuulize tukutajie bank zenye makato ya ajabu....
 
Back
Top Bottom