Hii story yako Wala siyo chai, Paper ngumu yoyote mi mb** huwa inasimama. Daah nakumbuka mwaka fulani nikiwa mwaka wa tatu chuo x kwenye paper ya general linguistics duuh kila nikisiloma swali hamna ninachoambua, mb** hiyo Kama maumari.
Daah nililipo maliza ile peper nilipita hosteli za wadada...
Kama una uwezo wako hakuna sababu ya kujilizaliza kwake,somesha wanao ili kesho na keshokutwa some aibu yeye.
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba nikuulize swali, una hela? Ninaamini huna na ndo maana akaona kwako hakuna Cha kumvuta. Pambana na maisha mzee ukiwa na hela hakuna mwanamke wa kukukataa!!
Sasa siku zikasonga kiukweli huyu manzi alikuwa anani treat powa Sana hali ikanifanya kuwa na hisia nae na kumpenda basi ikafika kipindi nikaona ni bola nimueleze ukweli kuwa namuhtaji na ninampenda kweli nilimwambia ukweli lakini hakunijibu amekubali au amekataa bas in short akawa haeleweki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.