Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Sijawahi kuona hoja ya ajabu kama hii.

George umeolewa? Hao watoto wawili muliwaasili au wa mumeo?

Jambo la pili sioni kama kuna ndoa hapo. Bora uendelee na X wako atakuelewa
 
Kamuombe msamaha huyo jamaa,kukutukania Mama yako wala siyo kosa kwa makosa uliyomfanyia.

Angekuwa mwingine pengine angekuvunja miguu ungekuwa kwenye wheelchair sasa hivi au mfu kabisa!

Kati ya watu wote out there,ukampa Ex!!

Kuna mdau humu aliandika,"Mwanamke ni mtoto mdogo mwenye umri mkubwa".
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Kina George siku hizi wanaolewa ?
 
George halafu Mwanamke?
Chai hii
 
Napataga ukakasi wa kuchangia mada zenye ukinzani tofauti na jina la mtoa mada.
  • Jina la mtoa mada ni la kiume🤔
  • Mada iliyotolewa inamhusu mwanamke😩
Hata kama mtu umeguswa na unataka kutoa ushauri, unaona bora kuacha tu.
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
Drama za kip*mbavu hizi, rudisha hela kwanza mwizi wewe,ndio uombwe msamaha kwa kupewa talaka,
 
Umshukuru alikutukana na akakuacha wengine tunakuweka alama ya maisha ndio tunakuachia ukikaa ukiona hio alama hautakuwa mpumbavu tena
 
Chai chai chai

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hawa Wasichana wanapata wapi Ujasiri dah...

KATAA NDOA ,NDOA NI WIZI ,NDOA NI UDHULUMAJI
 
Wewe ni ng'ombe

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom