Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

sio mbaya kama ushakubalia hali zote au inawezekana haujapenda!
Unajua ngoja nikuambie kitu mdogo wangu Money Penny. Hapa duniani usipokua makini kuna watu wanaweza wakakuvurugia maisha bila sababu yoyote.

Mimi najua kila mtu ana madhambi yake ambayo asingependa jamii iyajue. Mfano kama mke wangu anachepuka, na anafanya kwa siri ili mimi nisijue, kwangu mimi huyo mke ananipenda na kuniheshimu sana ndio maana anafanya kwa kificho!

Sasa wewe unapomuona sehemu kajificha halafu unakuja kuniambia, we unataka nini kama sio kutufarakanisha?

Ujinga ni kujiaminisha kwamba wewe umeoa/lewa na malaika ambae hafanyi hayo mambo.
 
Jambo iko? Kwanza merry christmass

Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku.

Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje?

Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa mwingine anafumaniwa, kiru! 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

Embu msaidieini shogangu amfanyaje bwana wake, ndoa ya miaka 3 tu, bado changa, bado mbichi, woi 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Mwambie amweleze mume wake amuoe kabisa ili wawe wawili ulinzi wa mume kuchepuka utaimarika maana watasaidia kumlinda
 
Ashukuru mumewe ni dume Haswa,,alitaka amfumanie mume wake anakazwa au??tena ampe pongezi rafiki yake Kwa kumsaidia majukumu mshauri wapige thrii samu itanoga kwa kuwa ni watu wanaofahamiana efectivli na Iwe Usiku wa mwaka mpya asikaze Sana shingo atapasuka bure!!
 
clip_image002_thumb%255B2%255D.png
NDO HAO😁 NILIWAPIGA PICHA
 
Jambo iko? Kwanza merry christmass

Kuna mrembo amepigwa huku amapiano! Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku.

Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje?

Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa mwingine anafumaniwa, kiru!

Embu msaidieini shogangu amfanyaje bwana wake, ndoa ya miaka 3 tu, bado changa, bado mbichi, woi
Mwambie asubirie mwaka mpya nae afumaniwe!!

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom