Napitia magumu, nimegundua mke wangu mtarajiwa anani-cheat na jamaa ambaye anadai ni rafiki tu

Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.

Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo alinisimulia na kuniunganisha nae, ila leo nagundua anammendea wife roho inaniuma sana. Nimegombana na huyu jamaa tumerushiana maneno makali sana nusu turushuane ngumi.

Wife alipojua alinifokea na alikasirika sana, kasema wale ni rafiki zake tu na hapendi ninavyomtenga na jamii coz kuna leo na kesho kutwa. Je, aki-fall down njiani nani atamuokota? Nikakosa cha kujibu. Anyway nikamuambia sorry mama life should proceed.

If that not be the case tangu week jana kasema kua simpendi coz namfatilia sana na She needs privacy somtimez, anasema ha feel good nikikagua kagua simu yake. Anajiskia vbaya na kuona simpendi and i only use her. Nitaishi vipi bila yeye?

Nampenda mke wangu mno. Na hapa kaondoka yupo mkoa fulani kwa ndugu zake kwa issues flan na status naona kamsave jamaa ni km anambembeleza. More enough kani mute kwa no yngu aliyoizoea na apa nimeichek kwa no yngu nyingine ambayo yeye alisahau kuifuta niliipotezaga nikai renew.

Kichwa kimepata moto mno.why ani mute? Huyu mjinga anayemendea wake za watu(nahis hivo) nafikiria kumpoteza. Napitia magumu mno ndugu zangu.

Na hapa nafanya mpango ninunue gari na nimjengee uko kwao.but hajatulia kiivyo yaani she's so childish... sasa nisubiri akue kue walau afike miaka 35 ndo nimfanyie hayo au? Nalifikiria hili.

Siku 2 hizi akili ilivurugika kidogo. Depression isikie tu kwa watu. Unatype hata uelewi una type nn!onba isikukute.

Anyway wacha nisubiri akue kue, naendela kumuweka kwenye mstari. Yaani ata sijui km niombe ushauri au la!
Sasa nimeandika nini tena?
nimeishia kusoma heading na kupata concl.
Piga chini wapo wengi sana hao!!
 
Ili tuweze kukusaidia tunaomba ujibu maswali haya.

1)Una umri gani , na mkeo mtarajiwa ana umri gani?

2)Wewe ni kabila gani na mkeo mtarajiwa kabila gani?

3)Tangu muanze mapenzi mna muda gani

4)Ulianza kujihusisha na mapenzi wakati una umri gani?

5)Je huyu uliye naye ndiye mpenzi wako wa kwanza kuwa naye maishani?

6)Elimu Yako ikoje na ya Mchumba wako ikoje?

7)Mkigombana, wewe na yeye nani anakuwa wa kwanza kuomba msamaha?
Ngoja nisubiri ataje umri kwanza.
 
Ukimsaidia mhalifu wewe nawe ni mhalifu tu. Kilio cha wazazi wa wanafunzi kitawatafuna hadi kiama.
 
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.

Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo alinisimulia na kuniunganisha nae, ila leo nagundua anammendea wife roho inaniuma sana. Nimegombana na huyu jamaa tumerushiana maneno makali sana nusu turushuane ngumi.

Wife alipojua alinifokea na alikasirika sana, kasema wale ni rafiki zake tu na hapendi ninavyomtenga na jamii coz kuna leo na kesho kutwa. Je, aki-fall down njiani nani atamuokota? Nikakosa cha kujibu. Anyway nikamuambia sorry mama life should proceed.

If that not be the case tangu week jana kasema kua simpendi coz namfatilia sana na She needs privacy somtimez, anasema ha feel good nikikagua kagua simu yake. Anajiskia vbaya na kuona simpendi and i only use her. Nitaishi vipi bila yeye?

Nampenda mke wangu mno. Na hapa kaondoka yupo mkoa fulani kwa ndugu zake kwa issues flan na status naona kamsave jamaa ni km anambembeleza. More enough kani mute kwa no yngu aliyoizoea na apa nimeichek kwa no yngu nyingine ambayo yeye alisahau kuifuta niliipotezaga nikai renew.

Kichwa kimepata moto mno.why ani mute? Huyu mjinga anayemendea wake za watu(nahis hivo) nafikiria kumpoteza. Napitia magumu mno ndugu zangu.

Na hapa nafanya mpango ninunue gari na nimjengee uko kwao.but hajatulia kiivyo yaani she's so childish... sasa nisubiri akue kue walau afike miaka 35 ndo nimfanyie hayo au? Nalifikiria hili.

Siku 2 hizi akili ilivurugika kidogo. Depression isikie tu kwa watu. Unatype hata uelewi una type nn!onba isikukute.

Anyway wacha nisubiri akue kue, naendela kumuweka kwenye mstari. Yaani ata sijui km niombe ushauri au la!
Sasa nimeandika nini tena?
Duhh yaani stutas kamweka jamaa!!! Hamna mke hapo.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana ndugu, your wife is sooo stupid, anamthamini mwanaume wa pembeni kuliko wewe

Usimpe thamani mtu aisekupa thamani, mwanamke akichepuka hawezi kujiuzuia, ndio anachofanya mkeo, yaani anachepuka na amefall mazima

Akili kichwani mwako, sidhani kama ni muda sahihi wa kumbembeleza bali ni muda sahihi wa kuonyesha nafasi yako kama mwanaume, weka misimamo, ikiwezelana mrudishe kwao mpaka ajifunze
 
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu.

Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo alinisimulia na kuniunganisha nae, ila leo nagundua anammendea wife roho inaniuma sana. Nimegombana na huyu jamaa tumerushiana maneno makali sana nusu turushuane ngumi.

Wife alipojua alinifokea na alikasirika sana, kasema wale ni rafiki zake tu na hapendi ninavyomtenga na jamii coz kuna leo na kesho kutwa. Je, aki-fall down njiani nani atamuokota? Nikakosa cha kujibu. Anyway nikamuambia sorry mama life should proceed.

If that not be the case tangu week jana kasema kua simpendi coz namfatilia sana na She needs privacy somtimez, anasema ha feel good nikikagua kagua simu yake. Anajiskia vbaya na kuona simpendi and i only use her. Nitaishi vipi bila yeye?

Nampenda mke wangu mno. Na hapa kaondoka yupo mkoa fulani kwa ndugu zake kwa issues flan na status naona kamsave jamaa ni km anambembeleza. More enough kani mute kwa no yngu aliyoizoea na apa nimeichek kwa no yngu nyingine ambayo yeye alisahau kuifuta niliipotezaga nikai renew.

Kichwa kimepata moto mno.why ani mute? Huyu mjinga anayemendea wake za watu(nahis hivo) nafikiria kumpoteza. Napitia magumu mno ndugu zangu.

Na hapa nafanya mpango ninunue gari na nimjengee uko kwao.but hajatulia kiivyo yaani she's so childish... sasa nisubiri akue kue walau afike miaka 35 ndo nimfanyie hayo au? Nalifikiria hili.

Siku 2 hizi akili ilivurugika kidogo. Depression isikie tu kwa watu. Unatype hata uelewi una type nn!onba isikukute.

Anyway wacha nisubiri akue kue, naendela kumuweka kwenye mstari. Yaani ata sijui km niombe ushauri au la!
Sasa nimeandika nini tena?
Sorry lakini wewe ni mjinga, mpumbavu na huna akili. Dalili zote hizo bado unadhani kuna mke hapo? Kwani hujiamini? Hovyo.
 
Msituletee nyuzi za kitoto humu
 
Musculinity musculinity masculinity

Your still a boy dude Born a male doesn't mean you gonna be a Man
 
Sisiti kusema kuwa wewe huna akili na hufai kuwa mwanaume.
Mtu hamjafunga ndoa na bado unampenda licha ya kukufanyia uhuni.
Mimi akinifanyia wife wa ndoa uhuni huo namwacha within five minutes. Nashangaa wewe eti mke mtarajiwa!!!
 
Hakuna urafiki kati ya me na ke abadani, hakuna kabisa, kama sio yeye unamlenga basi yeye anakulenga na atakae teleza tu kaenda na maji
 
Babu Huyo ni mwanamke malaya tena malaya haswa...
Imewahi nikuta.... Demu fulani hv malaya kumbe
Slut afu nilikua namkubali kinoma.
Ila akawa na Mambo kama hayo... Mara sitaki ushike simu yangu mara , sitaki uni control.
Dah nilikua naumia sana .
Siku Moja nkaamua kumuacha japo maumivu makali sana nilipata kumuacha..
Acha nae .. kaza utapata mwingine afu yeye utamuona Mbwa tu kama mbwa wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom