Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Basi mkuu tupe sample ya star yeyote anaendana na irene tupate walau mwanga juu ya uzuri wake maana umemnadi mpaka unatufikirisha wadau.
Nimejaribu kumvutia picha huyo Irene maana mimi naishi jirani tu na hapo Gland Villa Kijitonyama ila hajai kichwani🙄
Kwako INSIDER MAN embu nipe number ya nyumba au nielekeze exactly street nimng'amue mrembo wetu, alafu nitoe ushuhuda hapa😊😊
 
Kuishi kwa ndugu
Hichi ndio kipengele pekee nimelipenda , nimekumbuka kipindi nimemaliza form six nilienda kwa ndugu (baba yangu mdogo) mkoa fulani nyanda za juu kusini

Sasa kulikuwa na dogo mwingine ambaye si mwanae ni mtoto wa dada yake alikuwa akilalamika kuhusu mke wa jamaa kuwa anakauli za kibaguzi na ni kweli nilikuwa naona the way anawatreat wanae na huyo mwingine ni tofauti hivyo ilikuwa mumewe akiwepo ndio tunakuwa na ahueni ,

Kauli yake moja ilinifanya nipange safari ya kuondoka pale , alimwagiza mwanae majani ya chai dukani akampa elfu5 sasa watoto wakawa wanagombania kila mmoja anataka aende , huyu aliyepewa hela akakimbia nayo kufika getini kajikwaa kaanguka nakuanza kulia

Mama mtu kufika akasema kuna mijitu mikubwa imekaa tu haina kazi imerelax ,mtoto anaenda dukani akirudishwa chenji tsh 200 atajua?

Sikumaliza week 2 nikaondoka😂
 
Kauli yake moja ilinifanya jipange safari ya kuondoka pale , alimwagiza mwanae majani ya chai dukani akampa elfu5 sasa watoto wakawa wanagombania kila mmoja aende , huyu alipewa hela akakimbia nayo kufika getini kajikwaa kaangukia akaanza kulia

Mama mtu kufika akasema kuna mijitu mikubwa imekaa tu haina kazi imerelax ,mtoto anaenda dukani alirudishwa chenji tsh 200 atajua?

Sikiliza week 2 nikaondoka
pole sana, Mimi niliambiwa nimeiba charge ya simu na kipindi hicho sikuwa nimewahi kumiliki simu...
 
Ngoja Niongelee UBER kwa hapa watu wanavyofanya (Canada)

Uber imegawanyika sehemu 2
1. Uber abiria
2. Uber Eats

1. Uber abiria
Hii inapesa zipo za wasio na pesa na wenye pesa, Hapa kukuta mtu ana Tesla na amefanya uber huwezi shangaa, BMW X3, watu wanapigia Uber, volvo etc)

Gari za kawaida pia zipo,

Kwenye uber masaa 5 tu kwa siku 3 unatengeneza $400 (Ijumaa, Jumamosi na Jumapili)
View attachment 2678824

Hapo kwenye "comfort" unakutana na gari za maana sana

2. Uber Eats
Hii bongo huwezi pata wateja kabisa, kwa sababu sisi watu wengi wanapika majumbani, na wanaoagiza chakula ni wanawake wa chuo wasio na pesa

Wazungu wanakula kama mchwa, huwezi amini migahawa inakesha hizi nchi 24/7, sio Tims,sio MCDonald, sio Subway na zingine kibao.

Huku migahawa ni sawasawa na makanisa yalivyo mengi bongo

Sasa uber eats ndio ina pesa, masaa 4 kulaza $100 kawaida sana, hujaweka Tips hapo $60+

Wazungu wanatoa tips kama tunavyogawa rasilimali kwa waarabu

Full-Time uber kwa hapa kwa mwezi analaza $3500

Komaa, nimeamua nisindikize uzi wako tu

INSIDER MAN
Awesome clarification, mambo ya exposure hayo.
 
Oya ujuaji wako toa hapa kwenye huu uzi, hizo unazosema unnecessary incidents ndio story yenyewe, we kama umeona ni unnecessary ni bora kukaa kimya na kutoendelea kusoma story
Simple tu kama kunywa maji bro.
Kuna watu ni kama wameumbwa kuja kuharibia wenzao siku.
 
Nimejaribu kumvutia picha huyo Irene maana mimi naishi jirani tu na hapo Gland Villa Kijitonyama ila hajai kichwani
Kwako INSIDER MAN embu nipe number ya nyumba au nielekeze exactly street nimng'amue mrembo wetu, alafu nitoe ushuhuda hapa

Ilo pia ni jambo jema ila najua insider hawezi kuuza code ya uyo mrembo ye mwenyewe nahisi analitaka ilo colony
 
Kuishi kwa ndugu
Hichi ndio kipengele pekee nimelipenda , nimekumbuka kipindi nimemaliza form six nilienda kwa ndugu (baba yangu mdogo) mkoa fulani nyanda za juu kusini

Sasa kulikuwa na dogo mwingine ambaye si mwanae ni mtoto wa dada yake alikuwa akilalamika kuhusu mke wa jamaa kuwa anakauli za kibaguzi na ni kweli nilikuwa naona the way anawatreat wanae na huyo mwingine ni tofauti hivyo ilikuwa mumewe akiwepo ndio tunakuwa na ahueni ,

Kauli yake moja ilinifanya nipange safari ya kuondoka pale , alimwagiza mwanae majani ya chai dukani akampa elfu5 sasa watoto wakawa wanagombania kila mmoja anataka aende , huyu aliyepewa hela akakimbia nayo kufika getini kajikwaa kaanguka nakuanza kulia

Mama mtu kufika akasema kuna mijitu mikubwa imekaa tu haina kazi imerelax ,mtoto anaenda dukani akirudishwa chenji tsh 200 atajua?

Sikumaliza week 2 nikaondoka
Mi niliambiwa mnakaa tu kama mawe hamjui muda wa taarifa ya habari umefika muwashe tv?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kuishi kwa ndugu
Hichi ndio kipengele pekee nimelipenda , nimekumbuka kipindi nimemaliza form six nilienda kwa ndugu (baba yangu mdogo) mkoa fulani nyanda za juu kusini

Sasa kulikuwa na dogo mwingine ambaye si mwanae ni mtoto wa dada yake alikuwa akilalamika kuhusu mke wa jamaa kuwa anakauli za kibaguzi na ni kweli nilikuwa naona the way anawatreat wanae na huyo mwingine ni tofauti hivyo ilikuwa mumewe akiwepo ndio tunakuwa na ahueni ,

Kauli yake moja ilinifanya nipange safari ya kuondoka pale , alimwagiza mwanae majani ya chai dukani akampa elfu5 sasa watoto wakawa wanagombania kila mmoja anataka aende , huyu aliyepewa hela akakimbia nayo kufika getini kajikwaa kaanguka nakuanza kulia

Mama mtu kufika akasema kuna mijitu mikubwa imekaa tu haina kazi imerelax ,mtoto anaenda dukani akirudishwa chenji tsh 200 atajua?

Sikumaliza week 2 nikaondoka😂
Mimi niliwafikia kwa uncle wangu Fulani yaani ghafla sana maana haikuwa kwenge mipango yangu kufika pale maana huyo uncle ndio aliyejisheua nikalale pale kesho niamshe na safari kwa madai kwamba mshua wangu alimsadia sana enzi hizo ana soma.

Sasa kufika pale nikakutana na huyo mke wake nikasoma mazingira ya pale na saikolojia ya huyo mama nikajua hapa sijapokelewa vizuri yaani Bora hata ningeoneshwa zile ishara siku ya pili.

Sikurudi tena Ile nyumba Wala yule uncle sikuwahi wasiliana nae hadi Leo Wala kuonana nae hadi Leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom