Search results

  1. K

    Watanzania mchawi wetu ni CCM

    Ukweli lazima usemwe,ujinga miongoni mwetu, ufukara,maradhi,elimu duni, lishe duni haya yote yameletwa na CCM ili kumtawala mtanzania mnyonge.Hata ije serikali awamu ya kumi chini ya CCM tusitegemee watatujali, mfano mh. Sana analalamika kila uchafu na eti amesahau kuwa uchafu wote na majipu...
  2. K

    Ndugu zangu Watanzania huu si wakati wa kulaumiana

    Amani iwe nanyi, Tanzania tulipata uhuru kutoka kwa Mwingereza na tangu uhuru mpaka leo naandika hapa tupo chini ya utawala Wa CCM chini ya mfumo wa vyama vingi kuanzia 1992 kwa mwongozo wa katiba yetu ya mwaka 1977 na marekebisho ya mara kwa mara(viraka). Sina nia ya kuwasimanga CCM,maana wote...
  3. K

    CCM ni chaka la wezi, majangili na mafisadi

    Amani iwe nanyi, kweli CCM ni sikio la kufa, ujangili CCM, Lugumi CCM, Escrow, Meremeta Kagoda, vitambulisho feki vya taifa, Faru John, huu wizi wote unafanyika chini ya baraka za vigogo wa CCM na wanajuana na kulindana. Mkuu wa kaya amekuwa hodari wa kutumbua vipele majipu anayaogopa eti hataki...
  4. K

    Mahakama zetu hazipo huru

    Kwa hili la kesi ya mbunge Lema inadhihirisha muhimili mahakama umeingiliwa na CCM. Nijuavyo mimi kesi ambayo haina dhamana ni mauaji, sasa inakuwa vipi mahakama inapokea hoja dhaifu za CCM na kumnyima mtu haki ya kikatiba ya dhamana? Mbona majangili mliyapa dhamana? Au kwa kuwa majangili yale...
  5. K

    Umasikini wa watanzania umesababishwa na CCM

    CCM mwogopeni mungu,umasikini tulionao umesababishwa na sera zenu mbovu,wizi na ufisadi. Acheni kuturubuni eti CCM ni kimbilio la wanyonge hiki ni chama cha majambazi,majangili na mafisadi nani anabisha? Hali ngumu ya maisha ni zao la CCM.
  6. K

    Ukweli mchungu,CCM ndio wametufikisha hapa.

    Tusishangae ya musa, bado ya firauni maana watanzania ugumu wa maisha tulionao ni shabaha na malengo ya ccm ili waendelee kuturawala. Leo umeme juu kisa IPTL january inakuja tusubiri mfumuko wa bei hasa kwa mazao ya chakula. Hakuna haja ya kulalamika tuendelee kuisoma namba, hapa kazi tu.
  7. K

    Ni nani alie msafi ndani ya CCM?

    Amani iwe nanyi, napenda kuuliza je ni nani alie msafi ndani ya chama dola? Kuanzia tunapata uhuru mpaka sasa. Maana naona tunarudi nyuma baada ya kwenda mbele na hawa wakoloni weusi"CCM"wanaendelea kulindana na kujilimbikizia mali huku Mamilioni ya watanganyika wakiogelea kwenye bahari ya...
  8. K

    CCM wote ni mafisadi, mahakama ya mafisadi haiwezi kuwa na meno

    Ndugu zangu amani iwe nanyi, Kutokana na tabia za kifisadi serikali zilizoasisiwa na Chama Cha Mapinduzi hasa baada ya kung'atua kwa mwalimu Nyerere ni vigumu sana mahakama ya mafisadi kupambana na mfumo (serikali) ambao upo juu ya mifumo yote ya nchi hii. Kwa upande wangu nashauri ili...
  9. K

    CCM na ujangili uliokithiri wizi na unafiki wa kutisha

    Ndugu amani iwe nanyi, Ujangili unaotendeka nchi hii vinara wake wapo CCM,kila uchafu na wizi wa rasilinali za nchi hii vinara watoka CCM na mbaya zaidi wametufanya wtz wote hatuna akili. Haiwezekani tembo wanaisha na faru wameshatoweka wakati kuna kikosi maalum cha kulinda hawa wanyama,pia...
  10. K

    Wito wangu kwa watanzania bara na visiwani

    Ndugu zangu amani iwe juu yenu, Nawaomba watanzania wenzanngu bila kujali Dini, itikatikati za kisiasa,au mila kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais wetu Dr John Pombe Magufuli kwani ana nia njema na Taifa hili. Mwanzo sikumwelewa ila sasa nimeiona dira atatufikisha ktk safari yetu kwani si wote...
  11. K

    Nimegundua ziara ya Waziri Mkuu Arusha ni ya kichama zaidi

    Amani iwe nanyi, hakika sasa CCM imepoteza mwelekeo. Nimefatilia ziara ya waziri mkuu hapa arusha na nimegundua ilijaa usisiemu. Sasa ni dhahiri CCM wanalihitaji jimbo la Arusha mjini kwa hali na mali hata ikibidi wawafunge jela watu wote wa jiji hili ambao sio makada wa chama hiki...
  12. K

    Nadiriki kusema Mrisho Gambo utayajutia unayotenda leo.

    Amani iwe nanyi, nimefatilia speech za mkuu gambo nimegundua zimejaa utoto mwingi na visasi. Huu haukuwa muda wa kuweka visasa maana watu wa Arusha sio wagogo wa dodoma wanazitambua haki zao na wanajua kuzidai. Kumbe mkuu wa mkoa ameamua kuingilia uhuru wa mahakama ili kumkomoa mbunge lema...
  13. K

    Serikali iache kulea majangili tembo watapona

    Wasalaam,inasukitisha kuona hata serikali hii inalea majangili au kwa sababu ni makada wa CCM? Tuchukulie mfano familia ya mbuge kujihusisha na ujangili ina maana mbuge huyo wa ccm anahusika moja kwa moja, tuchukulie majangili yangekuwa ni familia kutoka mbunge wa upinzani je angepata dhamana...
  14. K

    Hii ni aibu kwa CCM na Serikali ya awamu ya tano

    Amani iwe nanyi, hii ni aibu na fedhea kwa serikali hii kushindwa kusimamia misingi ya haki za binadamu na utawala bora. Ni tanzania pekee jangili apewa dhamana na mwizi wa kuku anafungwa jela miaka mitatu. Tena inasikitisha kuona jangili anapewa dhamana bila pingamizi la serikali na...
  15. K

    Watanzania bado tunatawaliwa na mkoloni mweusi

    Amani iwe nanyi,kutokana na tafiti nilizofanya tangu ujana wangu mpaka uzee huu nilionao nimegundua watanzania bado tunatawaliwa kimabavu na mkoloni mweusi ambae ni CCM. Maana matendo ya CCM hayana tofauti na enzi zile za utumwa,kwa mfano kuminya uhuru wa habari, kuzuia matangazo ya...
  16. K

    Baba sikiliza kilio cha wanao

    Amani iwe nanyi, Nchukua nafasi hii kuunga mkono juhudi Rais Magufuli katika kuthibiti wizi serikali hii inafufua matumaini ya kupata Tanzania mpya, maana mpaka leo kama Taifa hatuna sera (sheria) inayotekelezeka na watanzania bila kujali ukada wa vyama vya siasa. Hii ni changamoto inatakiwa...
  17. K

    Serikali italipa malimbikizo ya mishahara?

    Je uhakiki utapoisha serikali itawalipa watumishi wake mishahara mipya pamoja na malimbikizo tangu mwezi wa saba? Au uhakiki ni wa kudumu? Maana bunge lilipitisha bajeti tangu mwezi wa saba lakini wanyakazi wanataabika hadi leo maisha yamekuwa tight na hakuna wa kuwafariji,kisa uhakiki hewa...
  18. K

    Nchi inayodharau 'the rule of law' inajichimbia shimo

    Amani iwe nanyi,"the rule of law"ni kuongoza kwa kuzingatia sheria na kanuni za nchi. Katiba ya mwaka 1977 katik ibara ya 13,inasema wazi binadamu wote ni sawa na hakuna alie juu ya sheria. Pia ibara ya 64(5) inasema wazi katiba ni sheria mama na sheria yoyote inayokiuka katiba inakuwa batili...
  19. K

    Wachimbaji wadogo wa dhahabu Geita watawanywa kwa mabomu

    Hii imetokea leo, wananchi hao wanadai maeneo wanayochimba ni mashamba yao tangu watoto;mkuu wa wilaya Geita anasema mashamba hayo ni mali ya ACACIA GOLD MINE inayoendeshwa wazungu wa Afrika Kusini. Chanzo: ITV. Naomba tuendelee kuomba ipo cku Mwenyezi mungu atajibu na kuumbua wanafiki. Maana...
  20. K

    Nakuomba Mh. Rais wetu tumbua secta ya madini, serikali itatajirika

    Hii inawezeka only kwa kurudisha mikataba yote ya madini bungeni ikajadiliwe upya, nina uhakika hili likifanyika wote kwa umoja wetu tutajenga Tanzania mpya.Naomba kuwasilisha.
Back
Top Bottom