Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Ndugu zangu amani iwe nanyi,
Kutokana na tabia za kifisadi serikali zilizoasisiwa na Chama Cha Mapinduzi hasa baada ya kung'atua kwa mwalimu Nyerere ni vigumu sana mahakama ya mafisadi kupambana na mfumo (serikali) ambao upo juu ya mifumo yote ya nchi hii.
Kwa upande wangu nashauri ili kupambana kweli na mafisadi serikali hii ya awamu itumie katiba hata hii ya 1977, maana bado inamakali japo imejazwa viraka vingi; maana serikali hii ya wanyonge haitaki kusikia na kufufua mchakato wa katiba mpya.
Maana ukiangalia kwa undani ni kama mahakama haipo huru kwani hawa wateule wake (majaji) wote wanateuliwa na mtu mmoja ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala, je watakua huru?
kila mmoja ajiulize.
Ili twende mbele ni lazima CCM chini ya mwenyekiti isiogope mchakato wa kupata mpya ya wananchi, ili wananchi wamsadie mheshimiwa kuwa na maamuzi ya pamoja katika majanga ya taifa hili ambayo ni, ufisadi, ujangili na rushwa iliokithiri.
CCM ndo mtufikisha hapa tulipo jangwani msimsingizie Lowassa acheni kujisahau, basi mchukueni lowasa na wengine wote waohusika muwapeleke mahakama ya mafisadi kama mtapona nyinyi.
Acheni kuchezea akili za wanyonge wa nchi muwe na huruma na hofu ya mungu kwanini mnatharau swala la katiba wakati dira? Nia yenu ni nini? Basi iheshimuni hata hii tunayotumia.