Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Kwa hili la kesi ya mbunge Lema inadhihirisha muhimili mahakama umeingiliwa na CCM. Nijuavyo mimi kesi ambayo haina dhamana ni mauaji, sasa inakuwa vipi mahakama inapokea hoja dhaifu za CCM na kumnyima mtu haki ya kikatiba ya dhamana? Mbona majangili mliyapa dhamana?
Au kwa kuwa majangili yale yanatoka CCM? Je ingekuwa majangili yale yanatoka vyama vya upinzani si ajabu mahakama ingeshatoa hukumu tena kali. Nawaonya CCM haya mnayofanya leo ya kuingilia uhuru wa mahakama na kunyanyasa wanyonge ipo siku yatawatokea puani, maana mtenda hutendwa. Kwani mbunge Lema kaua mtu?
Mmezoea kubambikia watu kesi na kufanya nchi hii ni yenu mlipata urithi;ni vyema nguvu nyingi mnazotumia kumkomoa binadamu asiye na hatia mngetumia dhidi ya majangili yanayoua tembo na faru wetu, kwa kweli mahakama zinatia aibu kwa kukubali kutumika kisiasa wanyonge tuhame nchi?