Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
CCM mwogopeni mungu,umasikini tulionao umesababishwa na sera zenu mbovu,wizi na ufisadi. Acheni kuturubuni eti CCM ni kimbilio la wanyonge hiki ni chama cha majambazi,majangili na mafisadi nani anabisha? Hali ngumu ya maisha ni zao la CCM.