Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Ukweli lazima usemwe,ujinga miongoni mwetu, ufukara,maradhi,elimu duni, lishe duni haya yote yameletwa na CCM ili kumtawala mtanzania mnyonge.Hata ije serikali awamu ya kumi chini ya CCM tusitegemee watatujali, mfano mh. Sana analalamika kila uchafu na eti amesahau kuwa uchafu wote na majipu anayotumbua mchawi aliesababisha ni CCM akiwemo yy mtumbuaji,ss hii kama sio comedi basi ni sinema.
CCM acheni kutufanya watanzania wote ni mbumbumbu mnatologa wenyewe halafu bila haya msingizia wapinzani,kazi yenu ni kulindana. Maana aliesababisha watumishi hewa yupo mnamuungopa,jangili namba moja nchi hii anapatikana CCM na mnamjua vema,muuza unga mkuu nchi hii ni kada wa CCM,fisadi namba moja ni kigogo wa CCM mnamsingizia lowasa,ipo cku mungu atachoka na unafiki wenu na atawatumbua hakika. Kila baya nchi hii waanzilishi ni nyie CCM halafu mnataka tuwaombee oneni aibu waambie watanzania ukweli kuwa nyie CCM ndo mmeifidi nchi iko juu ya mawe.