Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Amani iwe nanyi, napenda kuuliza je ni nani alie msafi ndani ya chama dola? Kuanzia tunapata uhuru mpaka sasa. Maana naona tunarudi nyuma baada ya kwenda mbele na hawa wakoloni weusi"CCM"wanaendelea kulindana na kujilimbikizia mali huku Mamilioni ya watanganyika wakiogelea kwenye bahari ya umasikini na ufukara wa kiwango cha juu.