Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Tusishangae ya musa, bado ya firauni maana watanzania ugumu wa maisha tulionao ni shabaha na malengo ya ccm ili waendelee kuturawala. Leo umeme juu kisa IPTL january inakuja tusubiri mfumuko wa bei hasa kwa mazao ya chakula. Hakuna haja ya kulalamika tuendelee kuisoma namba, hapa kazi tu.