Search results

  1. Mugare

    Kipi bora, kujenga kwenu kwanza au kwako

    Habari, Kwa sie tuliotokea familia duni, baada ya kupata ajira ya kuniingizia kipato kidogo natakiwa nijenge kwanza kwetu au kwangu? Maon pliz! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mugare

    Kumt**mb* sana mwanamke sio kumkomoa,, ndio unamzidishia hamu ya kukutaka mda wote

    Kichwa cha habari kimejitosheleza,, nishajaribu mara kadhaa hasa kwa wanawake wanaopenda ngono kulko chakula,, sikuwafukuza kwa shoo kali bali niliwaongezea petrol kwenye mioto yao Matokeo yake walizidi kunitaka mda wote tofaut na nilivofkiria Karibuni tushee experience zenu wadau
  3. Mugare

    Stress ni nini?

    Stress ni pale unapokomaa kumridhisha demu wako uliemtoa bikra kwa nguvu zote, ujuzi na ufundi wa ziada, kisha anakutizama tu wala huskii akitoa miguno ya raha, vilio vya kuashiria kuwa dushe limepenya kunako na kazi unayofanya anaiskilizia hadi visiginoni Ametulia tu huku we unahangaika mpaka...
  4. Mugare

    Baba JPM tuone huruma tumenyooka na kusalumu amri

    Habari ndugu Tunaomba msamaha kama tulimkosea huyu mzee, tumenyooka hata mia tano hatuiti tena jero,, tumejaa madeni kila kona,, kipato kimepungua na hatujui lini tumaini litarudi Unatwambia tuzae tu elimu ni bure ila matibabu ni hela baba, nguo na chakula ni vya kununua Umeme na maji...
  5. Mugare

    Mtu akipungua uzito au kukonda, nyama na uzito huenda wapi?

    Habari za mda huu! Naombeni ufafanuzi wa kitaalamu, mtu anapokonda zile nyama na uzito aliokuwa nao awali huwa vinakwenda wapi?? Kwa maana mtu akikonda akiamka kitandani hakuti nyama wala fupa lililobaki kitandani, wala akioga haoni nyama wala chochote katika mwili wake kikiondoka na maji...
  6. Mugare

    Nimewadharau wanawake wenye makalio makubwa

    Habari wadau Hawa viumbe kwa muonekano wako smart sana na wanavutia,, ila ndani ni wachafu hizo papuchi zao zinanuka Sijui hawaogi na kujikosha vizuri hizo papa? Unakuta bonge la sistaduu shepu hilo, tako la haja ila papuchi imevunda ina harufu kali! nmemuacha mmoja wiki iliyoisha hakuamini...
  7. Mugare

    Serikali na ugonjwa wa malaria

    Habari za mda huu wadau! Baada ya salamu niende direct kwenye mada,, Kumekua na changamoto kubwa mahospitalini siku za hivi karibuni haswa katika kipimo cha malaria na upatkanaji wa ugonjwa wenyewe Nikiwa kama mhanga wa hili jambo niliamua kufanya utafiti wa kwanini malaria imekua ishu...
  8. Mugare

    Azam media mnatia kichefuchefu! highlights dakika 30?

    Ni uwezo mdogo wa kukata vipande stahiki vya kuonesha, ni ushamba au ni nini? Highlight ya mpira wa miguu u-tube haiwezi kuwa dk 30, 20 au hata 15, labda ka ni ya mieleka Hivi unakaa nusu saa unatizama muhtasari wa mechi ya ligi ya bongo kwa lipi? mnatupotezea mda Kama mmeshindwa muache tu...
  9. Mugare

    Mwanamke unampaje mwanaume namba kisha baadae akikutongoza unamkataa?

    Hii ni tabia iliyozoeleka sasa hivi japo sidhani kama iko sawa,, mwanamke unamuomba namba anakupa in good faith tena bila kuvutana, sijui anakua anafikiri utakuja umpigie kumwambia maswala ya kazi, kufanya biashara pamoja au kwenda kumfanyia shoping wit no reason,,, mwishoni unakuja kumfungukia...
  10. Mugare

    Rais Magufuli anakubalika zaidi na watanzania kuliko CCM inavokubalika

    Kupitia ziara ya rais magufuli kanda ya ziwa, nimebaini kuwa rais anakubalika kwa wananchi kuliko chama chake kinavokubalika Watu wameweka itikadi zao kando na wanajitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza na huoni wala kuskia mtu yoyote akimpinga katika yale anayohutubia taifa Watazomewa wenyeviti...
  11. Mugare

    Ni kilevi kipi kisichokuwa na madhara kwa watoto wa chini ya mwaka mmoja?

    Habari wadau! naombeni ushauri juu ya kilevi kisichokua na madhara kwa watoto chini ya mwaka mmoja! Niko na watoto twins wamezaliwa january ila ni wakorofi kweli kweli, hawapendi kulala, hawapendi kukaa kimya mda mwingi ni kulia tu bil sababu Nalala sa 6 usiku kila siku na kuamka ni sa11...
  12. Mugare

    Wanaume wa Dar mnatia aibu kwenda dukani na kusema 'nusu na robo'

    Hawa jamaa wanazidi kuushangaza ulimwengu na kutuangusha wanaume Hata neno robo tatu hawawezi kusema wanaita nusu na robo Dume zima linaenda dukani kununua unga linasema"naomba unga nusu na robo" What a shame u guys?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mugare

    Wanawake sijui mmekuaje!? Ila Mungu anawaona

    Sijui ndo mambo ya kileo, sijui ni over-confidence, sijui ndo mmetuzoea sana wanaume Sijui ndo zama zimebadilika na haya ndo mabadliko yenyewe Sijui wazazi wenu nao ni .com na hayo ndo malezi wanayowapa Unampigia dem wako simu hapokei, anakaa mda anaotaka na akija kuona missed call anakutext...
  14. Mugare

    Msaada namna ya ku-apply vyuo via online

    Habari za wakati huu! naombeni kujulishwa namna ya kuapply chuo kupitia online application Na msaada wa facult ya kusoma Nmesoma HGL pass zangu ni nzuri
  15. Mugare

    Huduma za afya hii nchi ni uozo

    Tangu sa 6 niko hospital mpaka sasa na vichanga vya miezi 4, daktari hana habari hata na mimi despite ya kumchimba mkwara Yuko bize na kutibu wazee na watu umri wa kati Natamani kummeza kila mtumishi wa hospital nnaemuona kwa sumu nilizonazo Kila kitu hii nchi ni ungese ungese tu
  16. Mugare

    Waziri kamwelwe, katibu mkuu wa maji kitila mkumbo, mnayajua haya??

    Nianze taarifa hii nikiwa na matumaini kuwa mko poa kiafya ya mwili na akili Naitwa ambrose gilbert kikono, naishi musoma. Yapata mwezi sasa tunakunywa na kutumia maji machafu yatokayo bombani. Tumeshashindwa kujua sababu haswa ni nini!,,, awali tulijua labda matank ya kuhifadhia maji yamejaa...
  17. Mugare

    Watoto wachanga ni kiboko ya vibaka na wezi usiku

    Hili nimekuja kuligundua baada ya kuwapata wanangu mapacha, hakuna siku nalala chini ya sa6 usiku, hao wezi au vibaka wanapitia wapi nauku mbaba niko macho mpaka mida mibovu Naandika uzi huu hivi sasa ni sa 03:07am sijathubutu kusinzia hata kidogo niko nacheza na wanangu wakilia mama...
  18. Mugare

    Watoto huanza kuona baada ya muda gani tangu kuzaliwa

    Rejea heading, mimi nimejaaliwa mapacha wawili wa kiume na kike, na leo wanatimiza miez mitatu kamili kwa maana kwamba walizaliwa mwaka mpya Baada ya kuwapata nimekuwa nikichunguza mambo mbalimbali yahusuyo watoto wachanga, nimebaini mpka sasa pacha wa kike ndo anaona na kutambua kilichopo...
  19. Mugare

    Mwanamke aliyetolewa bikra anaweza kushika mimba siku hiyo hiyo

    Habari wadau, Hivi inawezekana binti akashika ujauzito siku ya kwanza ya kutoka bikra yake?? Nawaza kwa sauti na msongo wa mawazo pia.
  20. Mugare

    Nimefall in love na safina wa mizengwe

    Habari!… wazungu husema love is blind na huota popote hata majini,, nimetokea kumpenda huyu dada anaeigiza vichekesho vya mizengwe kiukweli kabisa yani kila kunapokucha anazidi kupendeza na kishundu nacho kinakua tu!… Kiukweli she makes me say halleluyah, nisaidieni namna ya kumpata she'z...
Back
Top Bottom