Wanaume wa Dar mnatia aibu kwenda dukani na kusema 'nusu na robo'

Kabla sijawa mwanaume wa Dar nilikuwa nashangaa kwa mangi watu wakisema nusu na robo. Aisee mimi siwezi sema nusu na robo, hata hivyo kwenye manunuzi sijawahi nunua kitu cha nusu na robo.
 
Hawa jamaa wanazidi kuushangaza ulimwengu na kutuangusha wanaume

Hata neno robo tatu hawawezi kusema wanaita nusu na robo

Dume zima linaenda dukani kununua unga linasema"naomba unga nusu na robo"

What a shame u guys??

Sent using Jamii Forums mobile app
Walipoita NUSU na ROBO ukaelewa kuwa ni ROBOTATU? If YES, wale wale tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom