Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 678
- 853
Habari ndugu
Tunaomba msamaha kama tulimkosea huyu mzee, tumenyooka hata mia tano hatuiti tena jero,,
tumejaa madeni kila kona,, kipato kimepungua na hatujui lini tumaini litarudi
Unatwambia tuzae tu elimu ni bure ila matibabu ni hela baba, nguo na chakula ni vya kununua
Umeme na maji tunanunua, kodi za pango zinapanda tu hazishuki ila kipato ni kile kile baba
Magari tumeshauza hatuna saiv maana hata mafuta hatuwezi tena kumudu
Viwanja vinavamiwa hatuwezi endelelea na ujenzi mana hata nyumba za kupanga tunakopa
Saiv tunafanyia matumbo tu na hata hilo bado linashindikana, tuonee huruma baba na utusamehe kama tulikukwaza
Acha niishie hapo kwa leo