Nna mdogo wangu amemaliza form 4 shule ya ufundi amepata daraja la kwanza naomba ushauri wadau kati ya kumuacha aende zake form 5 kusoma PCM na kumpeleka DIT Diploma kipi kiko Marketable zaidi?
Naomba Msaada kutoka kwa gamers jinsi ya kupatch pes 2017 version ya CPY kupata graphics,new faces and real team names za pes 2018.
10% percent itahusika kwa atakaenielekeza nikafanikiwa.
Mafisadi.
Sijawahi kusikia fisadi aliepelekwa jela au kunyongwa. Zaidi ya wale ambao walipewa adhabu ya jela miaka 2 na kufagia Muhimbili.
Wauza madawa.
Sijawahi kusikia aliepelekwa jela wala kunyongwa zaidi ya yule mliempotezea muda wake wa kununua mbaazi.
Ni drama tu kama Isidingo just its...
TCU wametoa tangazo kwa watu ambao wamekosa kuchaguliwa awamu ya kwanza waombe tena na utaratibu wa kuomba wamesema ni ule ule wa kuomba direct kwenye website za vyuo sasa cha kushangaza vyuo kama UDOM au MZUMBE tangu hilo tangazo limetolewa hiyo jana bado wanasema application closed sasa tuombe...
Nashauri baadhi ya wakufunzi wa vyuo vya elimu za juu watumie JamiiForums kama moja ya materials ya kujifunza kwa wanafunzi wao au wao wenyewe maana naona imekuwa kama google nowdays kila unachosachi unakuta kilishajadiliwa na watu wenye upeo tofauti tofauti.
Ni kitu kizuri sana.
Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wa BOT walioiba matrilion boss waliishia kufagia Muhimbili ndo adhabu yao na kuna yule wa TRA tulisikia ana nyumba 72 juzi tumesikia hana kesi ila we iba kuku uone.....utoe usia mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kada zote Tanzania mtu anapoongeza elimu na kima cha mshahara pia huongezeka.
Cha kushangaza katika kada ya elimu tu hiko kitu hakipo, tatizo ni nini mbona Walimu wananyanyaswa sana na kufanywa kama tambaa la makamasi?
Hivi walimu si ndio huwa wanatumika kwenye vituo vya kupigia kura mnadhani...
Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani? Maana nasikia kuna wakurugenzi wametimuliwa tangu mwaka jana na bado wanalipwa mshahara me bado sijakubali mpaka nione kigogo mmoja katolewa kafara.kila siku tunasikia wezi wezi alafu sion action huu wizi wa mchanga ni wizi kama wa 200 hivi nlosikia...
Mko Hospital wewe na wakwe zako mkeo anakaribia kujifungua mara nesi anatoka leba kwa jazba kibao anakuja kukubwatukia mbele ya wakwe zako kuwa kwa nini huwa huwa unamla tigo mkeo kwani bado wanapata shida sana kumzalisha huko leba ukizingatia mmeshaishi miaka zaidi ya 10 na hujawahi kumfanyia...
Ant-CCM i mean CHADEMA......
2020, Mwenyezi Mungu aende kuangamiza husda na hila za uibaji wa kura kila chama kisimame kwa ushindj halali.Tume ya Uchaguzi ikatende haki.Mwenyezi Mungu akapindishe midomo ya wanaopindisha matokeo wakati wa kutangaza kura, nadhan hakuna haja ya MaIT kuja kutall...
Ndugu zangu wana JF nina ombi mimi ni mtumishi wa serikali katika halmashauri moja ya Mkoa wa Mtwara, nimebahatika kumuona mtoto mmoja ambae uwezo wake kisoka (football) nadiriki kumfananisha na Neymer au hata kudiriki kusema ni zaidi ya Neymer kutoka moyoni, nimeanza kushabikia mpira tangu...
Wasanii kupiga picha za utupu. Kuvalishwa sketi jukwaani.... Inatokea jamii ya watu wengi kulalamikia tabia hizo then inatokea kundi lingine la kupingana na jamii..... Kwamba wasanii hao wako kikazi na ndio sanaa inavyotaka, mbona profesor Jay hajawah kupiga pcha za utupu na mziki ulimnyanyua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.