Naomba kueleweshwa kwanini walimu hawaongezewi mishahara?

Qunax

Senior Member
Oct 16, 2016
102
250
Kada zote Tanzania mtu anapoongeza elimu na kima cha mshahara pia huongezeka.
Cha kushangaza katika kada ya elimu tu hiko kitu hakipo, tatizo ni nini mbona Walimu wananyanyaswa sana na kufanywa kama tambaa la makamasi?

Hivi walimu si ndio huwa wanatumika kwenye vituo vya kupigia kura mnadhani siku wakishukiwa na Roho mtakatifu atapona mtu? Liangalieni hili kwa jicho la 3.
 
NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,208
2,000

Na walimu mnalalama mnoo aisee utafikiri Tz wafanyakazi wote walimu kumbe kuna taasisi kibao tu ambao nao mambo yao hayaenda ila humu kila kukicha mwalim.....
 
Compact

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,081
2,000
Walimu wana jinsi ya kupanda madaraja kila baada ya muda fulani hata kama kiwango cha elimu hakijaongezeka.
 
Mabrungutu

Member
Feb 17, 2017
86
125
Walimu wana jinsi ya kupanda madaraja kila baada ya muda fulani hata kama kiwango cha elimu hakijaongezeka.
Mkuu naomba kuuliza kwani sekta zingine serikalini hawapandagi madaraja hadi waongeze elimu ndipo waongezwe mshahara?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom